Aisee!!kwanza waweke trash bins in all corners of the city, bila holi itakuwa just a show off
Lije na kwetu mbagala.
Maisha bora kwa kila mtanzania-jk
kwanza waweke trash bins in all corners of the city, bila hilo itakuwa just a show off
Mrembo,
Najaribu kujiuliza "trash bins zilizopo tumezitumiaje?"
Gari la maji kwa shughuli gani?safi sana hapa sasa tunaanza kuelewana na bado gari la maji
GARI LA USAFI LIKISAFISHA BARABARA YA OHIO,KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Unaona SIO LAU pekee... KILA MTU ANAWEZA!!!
safi sana hapa sasa tunaanza kuelewana na bado gari la maji