segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,789
- 729
Mleta uzi ni muongo! Hivi watanzania tumelogwa kupenda uzushi? Leo nimeshinda eneo la Igombe jijini Mwanza, asubuhi mvua imenyesha kidogo lakini pamoja na mvua kunyesha makarani wa sensa wameamka mapema kweli! Nilipanda basi la kwenda Igombe saa moja kamili na ndani niliwaona makarani kama sita hivi(nimewatambua kwasababu wengi ni watumishi wenzangu wa jiji). Ili kuepuka kuchafua sare zao wengi walikuwa wamezitunza kwenye mikoba yao. Saa saba mchana nilikutana na mwalimu mmoja aliyekuwa na sare kamili na kibebeo cha madodoso.
Kwa wasiofahamu Igombe ni eneo la pembezoni sana mwa jiji(kupita uwanja wa ndege kama km 8 hivi).
My take: kama makarani wa Igombe ,Sangabuye, nk wamepata sare iweje wa katikati ya mji?
we kweli ni ndebile,mi nimezunguka mza town sijaona karani hata mmoja mwenye sare.acha uvivu na kutetea magamba