Jiji la Mwanza halina umeme siku ya tano leo

Acha tupate fundisho,2015 tutajua nini cha kufanya!Ila kwa wakazi wa mwanza poleni sana,ila mnae kamanda wenje japo magamba wanamziba mdomo bado yu nanyi!Wakibana sana ni kuingima mtaani.
Nafikiri tukifika 2015 tutakuwa tumekomaa na kufanya maamuzi sahihi ila kwa sisi watanzania sijui always expect the unexpected
 
kosa la wakazi wa jiji la mwanza ni kuikataa CCM - sasa wakae gizani ili liwe fundisho kwao.
Ni sehemu gani ya nchi hii ambapo watu wameikubali ccm alafu wana umeme?We unamatatizo jitahidi kusoma uongeze uwezo wa kufikiri.
 
Sikujuwa kuwa JF bado ina watu wenye akili mgando kama hawa!! No wonder unaitwa FUSO!!
Mkuu kama unanunua Fuso lako halafu lina behave kama jamaa, ni bora ulipeleke kuliuza chuma chakavu kisha nunua Punda. Ni wazo tuu. Hata hivyo hapa JF ya hivyo yapo mengi!
 
Mwanza; Arusha umeme umerudi kwa wale walioukosa kwa takriban wiki.., ulirudi baada ya wabunge wote wa Mwanza kuitisha Press Conference, hapo ni baada ya Wenje kuomba muongozo....!!! For how long utabaki...!!??? No one Knows..
 
Morogoro tatizo ni the same. Tatizo mijibunge yetu ni miarabu na mifisadi mitupu (Abood, Mteketa, Makala, Karogeres, Nkya, H. Mponda, Nkullo,), hayawezi kuona tatizo, zaidi yanaongea na simu bungeni...
 
Nadhani 2015 ni mbali mno!! Hali ya hewa dhahiri yaonesha mvua itadondoka kabla!!
 
Jamani kwa nini msiende kuwasha wenyewe? ama wakileta za kuleta itisheni peoples power
 
mi ninavyojua, kulikuwa hakuna umeme lakini ile jana mchana waliurudisha!

ni kweli kaka lakini jana walirudisha baadhi ya maeneo tu ila mimi niliwasiliana na baadhi ya watu waliopo maeneo ya kirumba bado walikuwa wanasota na giza pamoja na ukosefu wa maji.
 
wa-Mwanza mafala nyie!! mnalialia nini??? Keep trying or die poor!! Ofisi za kuu, za kanda na sub-stations TANESCO si mnazijua? Magari yao si mnayajua? Mabomu ya petroli si mnajua kutengeneza? Mnalia lia nini,mafala nyie!!?? Kwa kelele zenu Startv na JF ndio watajifunza kitu!!?? Acheni uwoga wa kingese!!
 
Tanga kwetu, kunywa viroba na joto hili la mchana wakati asubuhi hujaoga ni matatizo kwelikweli. Kapumzike ndugu yangu yaani kalale tuu, funda moja zaidi utaharibikiwa.
 
Mwanza; Arusha umeme umerudi kwa wale walioukosa kwa takriban wiki.., ulirudi baada ya wabunge wote wa Mwanza kuitisha Press Conference, hapo ni baada ya Wenje kuomba muongozo....!!! For how long utabaki...!!??? No one Knows..
Dah!!! Hii kali kweli VOR
 
Back
Top Bottom