Jiji la dar litakuwa hivi baada ya miaka 100 ijayo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
<!--ThumbEnd-->
Mh. Rais JK kishaagiza viongozi wa Manispaa za Dar kuangalia uwezekano wa kujenga barabara za juu kwa juu (Fly Overs) ili kupunguza msongamano wa magari. Siku moja jiji la Dar linaweza kuwa na sura kama hii?
 
That is not growth is maxmization of coplexity. We just need to go green less cars and more of online mode of work
 
Mkuu, ni mawazo bora. Lakini jinsi Mtanganyika alivyo, bado tuna mwendo wa karne kadhaa.

Wakati wenzetu watakuwa wanatumia Helikopta kwa kila familia, sisi ndio tutakuwa tunageuza Mandela Express kuwa fly over pale buguruni na ubungo mataa.
 
05_11_vza8vr.jpg

HIGH rise buildings coming up at Kariakoo in Dar es Salaam pose great risk since the structures are very close. In the event of fire, it can spread fast in the area and lead to colossal damage. (Photo by Yusuf Badi)
 
05_11_vza8vr.jpg

HIGH rise buildings coming up at Kariakoo in Dar es Salaam pose great risk since the structures are very close. In the event of fire, it can spread fast in the area and lead to colossal damage. (Photo by Yusuf Badi)

In this case we should prepare for impacts, God bless dar es salaam, God bless Tanzania
 
Planning na uendelezaji wa Dar ni hatari tupu. tushukuru hatuko kwenye ukanda wa earthquakes manake siku tetemeko litokee, balaa! as said by Ruta, siku moto utokee na hawa fire fighters wetu tulionao, hakika ni janga linalosubiri kumshukia Rais atakayekuwa madarakani waqt huo
 
speed yetu bado ni ndogo sana ,na plani zatu zinaupungufu mkubwa labda tujengewe miji yetu.
 
Back
Top Bottom