Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,329
- 6,447
Hivi ndivyo jiji la Dar es salaam litakavyokuwa baada ya miaka mitatu ijayo ambapo mradi wa mabasi yaendayo kasi utakuwa umekamilika.Barabara ya Morogoro wameshaanza ujenzi.View attachment 58057View attachment 58058View attachment 58059
Naomba na ile picha ya kwenye cross junction; maana sasa nimeelewa jinsi abiria watakavyo cross barabara yenye magari ya private. Hivi na mabasi yaendayo taratibu yatabaki barabarani?