Jiji bora afrika mashariki.

kigali wamepata tuzo ya un ya mazingira na usafi,hakuna rushwa za hovyo hovyo etc
 
Shomari nimekupta.
Mwanza hata mimi naptaFEel ile mbaya.

Haya kuna mmoja anasema NAirobi, Je umefika maeneo ya Bahati Estate, Makadara na E-3, Je Kibera unapajua?? Ni pabaya si mchezo, nyumba za mabati zimejaa utdhania ni Daladala(Hiace) ziko katika Folaeni.

Haya Kuna mtu amesema kuhusu Kampala, Labda maeneo ya Speke Bay ndiyo hali ni nzuri kwa kweli Munyonyo kule.
Lakini hapa Town kati Express/Tax zimejaa sana ha hivi hakuna barabara kubwa hivo na pale kwa upande naona ni kama DAr.
Sasa Tanga haina FOleni ilka hakuna sehemu nzuri saana inayonivutia zaidi ukarimu wa watu wa Tanga na pengine Kule Bombo na Raskazone ndiyo kuzuri. Fika Mikanjuuni uone jinsi ilivyo kubaya ndg. yangu!!
 
shomari nimekupta.
Mwanza hata mimi naptafeel ile mbaya.

Haya kuna mmoja anasema nairobi, je umefika maeneo ya bahati estate, makadara na e-3, je kibera unapajua?? Ni pabaya si mchezo, nyumba za mabati zimejaa utdhania ni daladala(hiace) ziko katika folaeni.

Haya kuna mtu amesema kuhusu kampala, labda maeneo ya speke bay ndiyo hali ni nzuri kwa kweli munyonyo kule.
Lakini hapa town kati express/tax zimejaa sana ha hivi hakuna barabara kubwa hivo na pale kwa upande naona ni kama dar.
Sasa tanga haina foleni ilka hakuna sehemu nzuri saana inayonivutia zaidi ukarimu wa watu wa tanga na pengine kule bombo na raskazone ndiyo kuzuri. Fika mikanjuuni uone jinsi ilivyo kubaya ndg. Yangu!!
unaongelea kitu gani usafi au uzuri wa mji nairobi iko juu kuliko vijiji vyote ulivyotaja kama unabisha bisha ,anza miundo mbinu,njoo huduma za jamiii,kama maji.......unajua narirobi mjini,hakuna mbu,,,,,,,,,,,,,mjiunamaeneo mazuri ya wazi viti vya kupumzikia,,,,,,,,,madaraja ya kuvuka barabara,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,benki za kutosha,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Naomba Arusha iondolewe kabisa katika list...
Huo mji haufai kwa lolote,, uchafu, foleni za hovyo,, crime ndio usiseme, ukitoa AICC hakuna kwengine unaposema huo ni mji wa maana. afadhali ya Musoma au Morogoro kulikoni AR.
 
Back
Top Bottom