Jihadhari na ngao feki!

Giroy

Member
Dec 17, 2008
82
7
Salam wana Jf,nimekuwa mtumiaji wa dawa ya kuuwa mbu ijulikayo kama ngao kwa muda mrefu.imetokea kwamba nilinunua dawa ambayo nilipoitumia kama kawaida haikuleta matokeo niliyoyazoea.mbu walikuwa wanacheza kwenye chandarua kitu ambacho siyo cha kawaida.Nafiki si vizuri kwa dawa hizi kuuzwa kiholela,maduka pekee ya kuuza za binadamu ndio wawe wauzaji wa ngao.Naomba kutoa hoja.
 
Naungana nawe ndugu yangu ni kweli kabisa ngao za siku hizi hazina kitu (sina uhakika kama ni feki au ubora umepungua!!) na zangu nilinunua katika duka la dawa za binadamu!!.
 
Kabla ya ku-rule out kwamba ni feki - mtumiaji jiulize wewe mwenyewe ndio uliweka kwenye chandarua au ulimtuma mtu?? labda alizidisha maji etc. Ngao inawekwa kwenye chandarua kilichofuliwa na kukauka - halafu unakichovya kwenye right quantity of mixture - Mimi nimetumia mara nyingi - kwenye chandarua, kupaka madirishani na mlangoni na ni miezi mitatu sasa mbu hawasogei - Nawasilisha maoni yangu
 
Salam wana Jf,nimekuwa mtumiaji wa dawa ya kuuwa mbu ijulikayo kama ngao kwa muda mrefu.imetokea kwamba nilinunua dawa ambayo nilipoitumia kama kawaida haikuleta matokeo niliyoyazoea.mbu walikuwa wanacheza kwenye chandarua kitu ambacho siyo cha kawaida.Nafiki si vizuri kwa dawa hizi kuuzwa kiholela,maduka pekee ya kuuza za binadamu ndio wawe wauzaji wa ngao.Naomba kutoa hoja.

Wat iz yoa altanativu?

'maduka pekee ya kuuza za binadamu ndio wawe wauzaji wa ngao.':eek:

binadamu wanuzwa hapa bongo? Sijalewa bado:confused:(haki sijaelewa)
 
Pole sana kwa kutumia ngao.Subiri plateau level ya lethal dose ifike halafu wuipate!Mimi ukiniambia kuna ngao fake na isiyo fake sikuelewi.Kwasababu technology yenyewe is based on fake science,kwa hiyo hata dawa yenyewe ni fake,kwa maana kwamba it is in the wrong place.Unajua Watanzania tu wajinga sana,tunalishwa mavi bado tunakenua,sijui tumevamiwa na dubwana gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom