Jihadhari na Mfuko wa Plastic (Rambo) Barabarani

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:-

UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM,RAMBO,PLASTIC) BARABARANI. UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER MAANA NDANI YAKE KUNA KIBAO KILICHOPIGILIWA MISUMARI ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA WEWE.

UKISHUKA GARINI KUANGALIA KULIKONI WIMBI LA VIBAKA LINAKUVAMIA NA HAKUNA UTAKACHOBAKIA NACHO ZAIDI YA GARI MAANA LITAKUWA HALINA UPEPO BAADHI YA MAGURUDUMU.VIBAO NI VINGI KWA UMBALI MFUPI MFUPI.

HII IMETOKEA JANA TABATA KISUKURU MAENEO YA MAKOKA MIDA YA SAA TATU USIKU. WALIOPATA PUNCHER NI PAMOJA NA MKE WANGU NA MAGARI MENGINE KIBAO, WALIOLIFANIKIWA KUIBIWA SIJAPATA TAARIFA BADO ILA TULIJI-ORGANISE NA KUPITA NJIA ZOTE NA KUVUKUSANYA.

WATAKUPIGA KIASI GANI HIYO INATEGEMEA KIWANGO CHA BANGI WALICHOVUTA NA UNAJEURI KIASI GANI.

TAHADHARI.

USIKANYAGE MFUKO WA NYLON ( KWEPA). UKIKANYAGA BAHATI MBAYA JIANDAE VYEMA KABLA YA KUSHUKA GARINI AU TEMBEA NA PUNCHER UMBALI KIDOGO.

MTAARIFU NA MWENZAKO.

__._,_.___

To photos, videos, and web pages.
 
From a friend !!
Kumezuka wimbi jipya la uhalifu, hii iko namna hii:-
unakuta mfuko wa nylon( maarufu kama mifuko ya condom,rambo,plastic) barabarani . Ukiukanyaga tu lazima utapata puncher maana ndani yake kuna kibao kilichopigiliwa misumari zaidi ya unavyofikiria wewe. Ukishuka garini kuangalia kulikoni wimbi la vibaka linakuvamia na hakuna utakachobakia nacho zaidi ya gari maana litakuwa halina upepo baadhi ya magurudumu.vibao ni vingi kwa umbali mfupi mfupi.hii imetokea jana tabata kisukuru maeneo ya makoka mida ya saa tatu usiku. Waliopata puncher ni pamoja na mke wangu na magari mengine kibao, waliolifanikiwa kuibiwa sijapata taarifa bado ila tuliji-organise na kupita njia zote na kuvukusanya.

Watakupiga kiasi gani hiyo inategemea kiwango cha bangi walichovuta na unajeuri kiasi gani.

Tahadhari.
Usikanyage mfuko wa nylon ( kwepa).
Ukikanyaga bahati mbaya jiandae vyema kabla ya kushuka garini au tembea na puncher umbali kidogo.

Mtaarifu na mwenzako
 
From a friend !!
Waliopata puncher ni pamoja na mke wangu na magari mengine kibao, waliolifanikiwa kuibiwa sijapata taarifa bado ila tuliji-organise na kupita njia zote na kuvukusanya.

shukrani kwa taharifa, wanasema mjini shule.

nje ya topic "kumbe wewe ni mwanaume??:A S embarassed:
 
From a friend !!
Ukishuka garini kuangalia kulikoni wimbi la vibaka linakuvamia na hakuna utakachobakia nacho zaidi ya gari maana litakuwa halina upepo baadhi ya magurudumu.vibao ni vingi kwa umbali mfupi mfupi. ....

Tahadhari. Usikanyage mfuko wa nylon ( kwepa).
Ukikanyaga bahati mbaya jiandae vyema kabla ya kushuka garini au tembea na puncher umbali kidogo.

Mtaarifu na mwenzako

Nyie madreva wa bongofleva, mnaponzwa na magari ya automatic kiasi kwamba hata kwenda veta mkapate shule ya nidhamu ya barabarani hakuna.
Hapo juu nilikoweka rangi ndo 'nidhamu ya dereva' akiwa barabarani si mchana au usiku.
Kabla ya kupata leseni za vishoka, pitieni driving school utafundishwa hayo.
 
KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:-
UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM,RAMBO,PLASTIC) BARABARANI . UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER MAANA NDANI YAKE KUNA KIBAO KILICHOPIGILIWA MISUMARI ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA WEWE. UKISHUKA GARINI KUANGALIA KULIKONI WIMBI LA VIBAKA LINAKUVAMIA NA HAKUNA UTAKACHOBAKIA NACHO ZAIDI YA GARI MAANA LITAKUWA HALINA UPEPO BAADHI YA MAGURUDUMU.VIBAO NI VINGI KWA UMBALI MFUPI MFUPI.HII IMETOKEA JANA TABATA KISUKURU MAENEO YA MAKOKA MIDA YA SAA TATU USIKU. WALIOPATA PUNCHER NI PAMOJA NA MKE WANGU NA MAGARI MENGINE KIBAO, WALIOLIFANIKIWA KUIBIWA SIJAPATA TAARIFA BADO ILA TULIJI-ORGANISE NA KUPITA NJIA ZOTE NA KUVUKUSANYA.

WATAKUPIGA KIASI GANI HIYO INATEGEMEA KIWANGO CHA BANGI WALICHOVUTA NA UNAJEURI KIASI GANI.

TAHADHARI.
USIKANYAGE MFUKO WA NYLON ( KWEPA).
UKIKANYAGA BAHATI MBAYA JIANDAE VYEMA KABLA YA KUSHUKA GARINI AU TEMBEA NA PUNCHER UMBALI KIDOGO.

MTAARIFU NA MWENZAKO.

__._,_.___

to photos, videos, and web pages.

Karibu sana, Ila tu mimi si Kaka ni Dada, nimekusamehe bila malipo

Amavubi
Asante sana kwa taarifa zako ambazo ni nzuri na muhimu sana
Ila mbona unajichanganya
Angalia ulivyoanza thread umesema walioumizwa sana ni pamoja na Mke wangu
Then hapo chini comment iliyofuata unasema sio kaka ni dada
Inakuwaje hapo
 
shatwain wewe mchokozi sana!

Hahahaa sobhuza bwana! vipi inshu yako ya udsm imeeleweka au bado, kama unacredit nzuri tafuta shule majuu?
 
Aisee ni kweli nimejichanganya.....nikiri kwamba ni mambo ya sharing.............paste and copy...............maintain the status quo

Back
Top Bottom