Jihadhari na Matapeli wa Mtandaoni

rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
13,108
16,278
Kuna matapeli humu mtandaoni na hawana hata haya na woga, nilishawahi kuuziwa powerbank mbovu kupitia mtandao wa instagram. Sasa leo yamemkuta shoga yangu kajiunga na group ya wanamitindo ya kitapeli huko insta waliwaambia watume picha akaambiwa kashinda kuunganishwa na group la mamodo elf5

Imefikia kusaini mkataba wa kazi nao elf15 na aliyewaunganisha hataki kuwapeleka kwa management yeye ni hadithi tuu! Mkataba hauna address namba ya simu ni ya admin na ofisi haijulikani wapi hawaelewi wanafanyaje!
Account yenyewe ni jumba la mamodel
 
Rahisi ghali jamani hivi bado kuna watu wanasubiri miteremko ya aina hiyo kwa dunia ya leo ya utandawizi?
 
Nimeangalia kwa makini avatar yako, nikafuatilia aliyetapeliwa alitaka nini, nikafikia suluhisho kuwa huyo rafiki yako na wewe hob zenu zinafanana.

Mi hapo hapo nikahisi kuwa huyo rafiki yake aliyetapeliwa kumbe ni yeye mwnyw
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom