Jihadhari na "Madalali" Wa Wafanyakazi Wa Ndani

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Jamani tuwe makini sana na hawa wanaojiita madalali wa Ma "House Girls" (Common Word but not legal) atakuambia nipe nauli nikuletee msichana say from Singida kumbe yupo hapa hapa, haya atamleta huyo msichana halafu wanafanya dili, msichana anaanzisha zengwe ili umfukuze, ili dalali akavute nauli nyingine kwingineko au hata kuchonga dili la kukuibia

tuwe makini sana, ni bora uagize mwenyewe kwa watu unaowafahamu huko kijijini
 
Ni kweli hata mimi yalinikuta bahati nzuri nilishtuka waliponidai fedha yao ya nauli nilikataa wakasema wanamchukua nikawaambia wamchukue faster nilimpakia kwenye garu nikawapelekea.
 
Hyo kweli hata mie imenitokea nmetoa naul cjamuona mschana hadi leo dalali nae hana la kujbu
 
hawa madalali ni wezi, hapa dar juzi mtoto wa kazi wa jirani yangu alitimua na gari aina ya Noah mchana kweupe...nilibaki najiuliza tangu lini binti wa kazi from Iringa(Kilolo) anaweza kuendesha gari? kumbe alikuwa kibaka mzoefu..
 
si bora aanzishe zengwe ili umfukuze? wasichana wanaoletwa wengi wezi au wanapanga dili la wizi na dalali, watakukomba kila kitu........
 
hawa madalali ni wezi, hapa dar juzi mtoto wa kazi wa jirani yangu alitimua na gari aina ya Noah mchana kweupe...nilibaki najiuliza tangu lini binti wa kazi from Iringa(Kilolo) anaweza kuendesha gari? kumbe alikuwa kibaka mzoefu..

yan watu wameamua kukamata fursa sehem ambayo watu wanashida nayo haswa
 
Poleni mliolizwa...kimsingi hapa bongo hakuna dalali wa kumuamini
 
bestito nakusalimia umeona lile zali la mentaly la ''REAL MAN '' kule kwenye interview ya lara moko na heaven on eath babab una bahati wewe du !
 
Ni kweli hata mimi yalinikuta bahati nzuri nilishtuka waliponidai fedha yao ya nauli nilikataa wakasema wanamchukua nikawaambia wamchukue faster nilimpakia kwenye garu nikawapelekea.

uliwarudishia yote (pole kama ulisahau remote na actual damage)
 
hawa madalali ni wezi, hapa dar juzi mtoto wa kazi wa jirani yangu alitimua na gari aina ya Noah mchana kweupe...nilibaki najiuliza tangu lini binti wa kazi from Iringa(Kilolo) anaweza kuendesha gari? kumbe alikuwa kibaka mzoefu..

ni janga kwa kweli ni vyema umfahamu vizuri sana, na hata mtu wa karibu akikuambia anamfahamu muulize mara ya mwisho alionana naye lini na alikua katika tabia gani maana wengine alikua naye kijijini miaka mingi anakuambia anamfahamu na anawafahamu wa kwao kumbe mdada alishalkua changu mjini na sasa anaendesha utapeli
 
Ni kweli hata mimi yalinikuta bahati nzuri nilishtuka waliponidai fedha yao ya nauli nilikataa wakasema wanamchukua nikawaambia wamchukue faster nilimpakia kwenye garu nikawapelekea.
Hao ni majanga. Waliowahi kumpigia simu mke wangu eti kijana waliyemleta nyumbani kufanya kazi kafiwa na baba yake, wkt kijana alipofika na kuhojiwa kabla ya kuanza kazi alieleza kuwa baba yake alifariki miaka mitano iliyopita. Mke wangu alipomweleza kijana, kijana akawapigia simu na kuwaambia Hana mpango wa kuacha kazi kwangu na kwenda kwingine Kama ulivyo utaratibu wa kampuni hiyo. Ikala kwao.
 
yah, hii ni moja ya mbinu wanayoitumia sana

Back
Top Bottom