jihadhari kununua viwanja vya ccm tunapoelekea tutavirudisha vyote chadema

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Kuna biashara imeanza ya kuuza viwanja ovyo ati vilikuwa vinamilikiwa na ccm
swala hili limekua aibu hadi kwenye uchaguzi wa eac mmoja wa wagombea inamgarimu
kwa kuuza kiwanja akiwa umoja wa wazazi..

Sipendi nieongelee zaidi ikiwa kama ndugu wa karibu jihadhari na viwanja vya sisiemu tunapoelekea chadema tukikamata nchi naamini tutaanza kukamata mali zote za ccm walizouza kihuni
achana na kudanganywa na wahuni wa ccm kula chako mapema ukaishiwa kuliwa baadae
 
Back
Top Bottom