Jifunze kwa dvd/cd za video bila kwenda kozi

Do you want to excel in your level of knowledge


  • Total voters
    3
  • Poll closed .
kwa mfano nikizinunua kisha nikaziweka kwenye JF STORE kwa public consumption kama na wengine wanavyofanya utaniruhusu?

Sharing is Caring!!!!!

Good point. Naamini hawezi kukuzuia kwa sababu yeye mwenyewe hizo cd si zake, ame-dowload kutoka torent, vuze na kwengineko na ameamua kufanya mtaji. Kinyume na wewe unaehisi ni bora ku-share na wenzako. Kama huamini nunua na utaona tu cd ni za ku-burn kiholela na sio official kabisa.

Muuzaji wa cd hizi ole wako wenye cd zao wakaja gundua kuwa sio tu umedownload cbt nuggets za pasi na malipo lakini unauza huduma na vipaji vyao bila kwa manufaa yako pekee, utakuja juta bro!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom