Jifunze kudai nyota yako ya ndoa, kazi, fedha kutoka kwa Mungu wako

Ndugu mpendwa
pengine kuna wanaoulzia nyota nini..tukisoma kitabu cha luka tunaona mamajusi walikuwa wakimfatafuta yesu wakiwa wanaaendelea kumtafuta wakaona nyota mashariki ya mbali
hapa inatujulisha kumbe nyota yako yaweza kuonekana marekani ..kwa wakati huo mashariki ya mbali ni kama hapa na bara la ulaya....

baadae tunaona mamajusi wakiwa wanazikaribia zile nyota zikapotea:
hii inatuonyesha kwamba kumbe kuna wakati nyota ya mtu yaweza potea..labda nikuelekeze hapa kinachofanyika kwa wale wanajimu wa nyota wanajua pdidy anakaa masaki mikochen nkwineko anajua jamaa ana fedha sana wanachofanya wale wakiwa kwenye ulimwengu wa mapepo wanaona nyota zinazongaaa sasa na wao wanaanza kuzitafuta kama walivyokuwa mamajusi wanafika na kukuta kweli didy kapaki malori yake nje na gari nzuri za kifahari wanachofanya wanaweza kuingia kama watu ..ama wanaingia kama paka wewe utaona paka na pengine hata panya wakimaliza kuchukua nyota zako baaday a mwezi unashangaa yale malori yanapinduka...mara limegongwa ilimradi zile pesa zako zinaisha sasa basi akienda mwanmjini kudai atengenezewe awe tajiri wanachofanya ni kuhamisha zile nyota zako wanamuhamishia jamaa na baada ya muda unashangaa jamaa amepata utajkir gafla

huu ndio mchezo wa nyota..sasa basi lazima ujue jinsi ya kudai nyota zako..kila ukilala mwambie mungu narudisha nyota yangu ..nalaani wote waliochukua nyota yangu taja nyota ya utajiri nyota ya uzazi nyota ya ndoa nyota ya....tajaa kila aunachoitaji ukiweza kila siku nakwambia shetan alali maana zinarudi moja baada ya nyingine

mamajusi wakiwa wanaendelea kumtafuta yesu nyota zikaonekana tena karibu na alipolala mtoto yesu:

kummbe nyota yako ikingaa hata kama itapotea inatuonyesha lazima irudi kwako..nasema itarudi kwako in jesus name sema amen...nasema huu mwezi wa umetosha nyota zetu zinarudi nasema zirudi ktk jina la yesu yoyote aliechukua nyota zetu awe amekufa ,hai tunazirudisha kwa jina layesu..hapa tunaona baada ya kupotea nyota zikaja kuonekan mtoto alipo..inaamaanisha nyota yako ikingaa hata waichukueje lazima irudi..nasema itarudi kwa jina la yesu sema hivi kila siku narudisha nyota yangu,kuanzia leo popote ilipofichwa majini,ziwani,baharini chumban,kwenye chungu na popote pale narusisha then anza kufyeka mapepo yaliochukua fyeka fyeka kwa jina la yesu..ita mume wako kuna watu walikuwa na waume zao leo ni mawaziri ,marais sababu ya kuchelewa klurudisha nyota zao wanaishia kuteseka kwenye makampuni yaliochioka tena kwa rushwa za ngono...imefika wakati rudisha nyota yako sasa,ita mke wako toka kwa mungu mwambie mungu narudisha nyota ya ndoa yangu narudisha nyota ya uzao wangu..nikupe siri kuna wachawi wanaka muhimbili na mahospital kulamba watoto wakiwa wanazaliwa...wale unaona wamekufa gafla sio kifo cha kawaida...wwako kuzimu..untakiwa ombea uzao wako rudisha nyota ya uazo..kuna mabinti wazuri wanahangaika mpaka sasa kupata watoto si kwamba mapenzi ya mungu la hasha kuna watu wameenda kwa waganga wkapewa uzao wako sasa unateseka wanakuita wanachotaka leo nasema imetosha ..nasema imeotsha anza kupiga majeshi ya shetan kama una tatizo la uzazi sali kila siku

""bwana yesu..ninakuja kwako naomba unisamehee dhambi zangu nilizofanya kwa kujua ama kwa kutojua...nirehemu leo hii rehemu uzao wangu rehemu wazazi wangu,rehemu ukoo wangu
leo hii natangaza kurudisha kila nyota yangu iliochukuliwa na kuwekwa kwenye chungu,chumba,ziwani,baharini taja unakofikiria..natangaza leo hiikurudisha uzao wangu natangaza kuwa na watoto wasio na idadi ninarudisha kila aliechukua uzao wangu kwa jina la yesu...uko aliko uzao wangu ukarejeshwe kwa jina la yesu rudsha nyota ya mumeo ama mkeo kama ujaoa ama kuolewa...narudisha fedha zangu kwa jina la yesu shetan na kufyeka imetosha nasema imetosha leo narudisha kilichochukuliwa kwangu in jesus name

amen
Amen,ubarikiwe kwa mafundisho mazuri...
 
mamajusi walipomwona wakanza kumwagia manemane :

So utaona kumbe nyota yako ikingaa fedha zinaletwa ajira zinakufwata,utajiri nuakukimbilia kila aina ya baraka inakufwata wewe na si wewe kuifwata...ukiangalia walipomwona yesu walifurahi sana sana wakaanza kumshangilia kwa hiyo nyota yako ikingaa jua ndug zako wanaokutegemea watakufurahia sana watakushangilia na kukuheshimu sana sana...aijalishi uko na umri gani yesu alikuwa mtoto manemane zikammwagikia ...nakwambia saa imefika ya kuita nyota yako laani kila aliechukua nyota yako akaangamie asirudi tena ....kuna watu wanahangaika na kazi wakiwa na cv nzuri sana sana lakini bila kuwa na ufahaamu cv aikupi kazi bali kibali cha mungu wanaishia kujaza makabati ya makampuni cv zao..anza sasa ita nyota yako nyota ndio inakupa kibali cha kuingia ofisi yoyote si makaratasi ,,,nyota inakupa ufahamu wa kujua nini cha kuongea kwenye interview na si yale makaratasi nikupe kisanga cha kweli na mungu wangu ni shahdi

nikiwa mtaani nikaanza kumwaga cv kila sehmu kila nafasi..ikafika sehemu nikamwambia mke wangu sasa hii imetosha..wife akasema unajua tatizo unafikiri vyeti vinakupa kazi vyeti ni vikorombozwe tu kuna watu wako maofisini makubwa makubwa bila ya vyeti kama vyakao..tukaanza kupiga prayer ya kuita nyota ..akanipiga somo la kibali akika nakwambia ukiwa na kibali cha mungu kazi inakufwata..nikiwa arusha nikaakaaa sana kwa dadangu nikisema niopumzishe akili baada ya muda nikaja dar..nikaakaa mwezi nakwambia hii ni kwa taarifa yako usicheze unapomwambia mungu naoamba kibali cha ndoa ,kazi uzao wangu mungu anaajibu...nilituma application february...kibali kikantafutaa jumatano mwezi wa may nikiwa nimeepanda basi kwenda arusha nikiwa karibu na chalinze nikapigiwa unaitwa didy nikamwambia yap..nani mwenzangu..akaongea kimombo nikaweka full attention..unaweza kuja leo ofisni saa sita nikamwambia ngumu labda kesho..akaniambia kesho saa 3 asbh,,nikashuka chalizne safari ikafia hapo..nilipoenda asbh kwenye interview nilimwambia mungu sasa naenda kazini kwangu nimechoka kukaa hme..nikaanza kuita kibali nilipofika kwenye interview nikakuta watu6 m wa saba nakusaidia umuhimu wa kibali..interview ikaarishwa mpaka saa nane movenpick..kati ya 7 4 wakaondoka na kusema tumetoroka kazini tukabaki wa3.ilipofika nane jamaa wanamsubiria toka nairobi mmoja akaondoka tukabaki wawili..nilipofika zamu yangu..hr aliniuliza unapenda kulipwa sh ngapi...nikamtajia scale akasema no nipe fgr nikampa arrondfulan...wa pili aliniambia ukipata kazi iincase kuna emergency utafanyaje..nikamweleza..interview iliishia hapo..wakaenda ofisni..mi nikala mdogomdgo posta mpya niko kwa basi tu tabata nikapigiwa uko mbali nikamwambia kidogo nani mwenzangu..akajieleza nikambiwa njoo uje saini mkataba wako kama unakubaliana nao...
Ndugu auitaji kwenda bagamoyo,yanga,buguruni kupata kazi ,,no ita kibali cha mungu kifanye kazi akuna kinachoshindikaana

herode akaanza kutuma watu wakamuue yesu :

Kumbe nyota yako ikiwa inangaa watatokea wabaya kutaka kukuua lakini kwa kuwa unaye yesu wa nazareth atakutoa hapo ulipo na kukupeleka mbalai shetan asikuguse..utaona herode aliona huyu mtoto anaenda kufanya mambo makubwa bora nimuangamize mapema..utaona kuna wazazi wengine wanatupiwa mapepo wanaishia kutupa watoto wao kwenye shimo la taka ama choo..bila kujua wanaiangamiza nyota ya mtoto..ninao ushahdi waziri mmoja serikali ya kiwete mzazi wake alimwacha barabarani sehemu ya mama ntilie na leo hii ndie anaemtunza mzaz wake..hiiki ni kibali ..yawezekana waliomtunza walianza kumlilia mungu aonyeshe nyota ya huyo mtoto leo wanaishi kama peponi...mungu akusaidie wewekaka kama uko humu..hii yote ni kujua jinsi gan ya kujikomboa ..usikimbilie mungu niruishie uzao ..tafuta srce..kwa hiyo usishangae nyota yako ikingaa maadui wanaongezeka wafyke kwajina la yesu wapigwe wapigweeeee wapigwe kabisa

baada ya haapo natumaini kukuona uko juu kimaisha na si wale wanaoishi kwa matumaini kama msemo wa serikali yetu mungu akakuangazie nyota yabaraka maaduio zako wakapigwe kwajina la yesu waaibike na wasionekane tena mbele yako ...

Wenu
pdidy
Barikiwa sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mpendwa,

Pengine kuna wanaoulizia nyota nini tukisoma kitabu cha luka tunaona mamajusi walikuwa wakimfatafuta yesu wakiwa wanaaendelea kumtafuta wakaona nyota mashariki ya mbali, hapa inatujulisha kumbe nyota yako yaweza kuonekana Marekani kwa wakati huo mashariki ya mbali ni kama hapa na bara la Ulaya.

Baadae tunaona Mamajusi wakiwa wanazikaribia zile nyota zikapotea:
Hii inatuonyesha kwamba kumbe kuna wakati nyota ya mtu yaweza potea labda nikuelekeze hapa kinachofanyika kwa wale wanajimu wa nyota wanajua pdidy anakaa masaki mikochen nkwineko anajua jamaa ana fedha sana wanachofanya wale wakiwa kwenye ulimwengu wa mapepo wanaona nyota zinazongaaa sasa na wao wanaanza kuzitafuta kama walivyokuwa Mamajusi wanafika na kukuta kweli didy kapaki malori yake nje na gari nzuri za kifahari wanachofanya wanaweza kuingia kama watu, ama wanaingia kama paka wewe utaona paka na pengine hata panya wakimaliza kuchukua nyota zako baaday a mwezi unashangaa yale malori yanapinduka mara limegongwa ilimradi zile pesa zako zinaisha sasa basi akienda mwanmjini kudai atengenezewe awe tajiri wanachofanya ni kuhamisha zile nyota zako wanamuhamishia jamaa na baada ya muda unashangaa jamaa amepata utajkir gafla.

Huu ndio mchezo wa nyota..sasa basi lazima ujue jinsi ya kudai nyota zako. Kila ukilala mwambie mungu narudisha nyota yangu, nalaani wote waliochukua nyota yangu taja nyota ya utajiri nyota ya uzazi nyota ya ndoa nyota ya,tajaa kila aunachoitaji ukiweza kila siku nakwambia shetan alali maana zinarudi moja baada ya nyingine

Mamajusi wakiwa wanaendelea kumtafuta yesu nyota zikaonekana tena karibu na alipolala mtoto yesu:

Kumbe nyota yako ikingaa hata kama itapotea inatuonyesha lazima irudi kwako..nasema itarudi kwako in jesus name sema amen. Nasema huu mwezi wa umetosha nyota zetu zinarudi nasema zirudi ktk jina la yesu yoyote aliechukua nyota zetu awe amekufa ,hai tunazirudisha kwa jina la yesu, hapa tunaona baada ya kupotea nyota zikaja kuonekan mtoto alipo inaamaanisha nyota yako ikingaa hata waichukueje lazima irudi, nasema itarudi kwa jina la yesu sema hivi kila siku narudisha nyota yangu,kuanzia leo popote ilipofichwa majini, ziwani,baharini chumban, kwenye chungu na popote pale narusisha then anza kufyeka mapepo yaliochukua fyeka fyeka kwa jina la Yesu, ita mume wako kuna watu walikuwa na waume zao leo ni mawaziri, marais sababu ya kuchelewa klurudisha nyota zao wanaishia kuteseka kwenye makampuni yaliochioka tena kwa rushwa za ngono.

Imefika wakati rudisha nyota yako sasa,ita mke wako toka kwa mungu mwambie mungu narudisha nyota ya ndoa yangu narudisha nyota ya uzao wangu..nikupe siri kuna wachawi wanaka muhimbili na mahospital kulamba watoto wakiwa wanazaliwa, wale unaona wamekufa gafla sio kifo cha kawaida wako kuzimu untakiwa ombea uzao wako rudisha nyota ya uazo. Kuna mabinti wazuri wanahangaika mpaka sasa kupata watoto si kwamba mapenzi ya mungu la hasha kuna watu wameenda kwa waganga wkapewa uzao wako sasa unateseka wanakuita wanachotaka leo nasema imetosha nasema imeotsha anza kupiga majeshi ya shetan kama una tatizo la uzazi sali kila siku

Bwana yesu..ninakuja kwako naomba unisamehee dhambi zangu nilizofanya kwa kujua ama kwa kutojua...nirehemu leo hii rehemu uzao wangu rehemu wazazi wangu,rehemu ukoo wangu leo hii natangaza kurudisha kila nyota yangu iliochukuliwa na kuwekwa kwenye chungu,chumba,ziwani,baharini taja unakofikiria..natangaza leo hiikurudisha uzao wangu natangaza kuwa na watoto wasio na idadi ninarudisha kila aliechukua uzao wangu kwa jina la yesu...uko aliko uzao wangu ukarejeshwe kwa jina la yesu rudsha nyota ya mumeo ama mkeo kama ujaoa ama kuolewa. Narudisha fedha zangu kwa jina la yesu shetan na kufyeka imetosha nasema imetosha leo narudisha kilichochukuliwa kwangu in jesus name

Amen
Unajua nyota inaibiwaje na wachawe
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom