Jifunze jinsi ya kutumia vizuri android yako

frank4i

Member
Nov 4, 2015
88
25
Kwa ufupi mimi na-deal software za simu sana sana kuflash simu kwa hiyo nina uzoefu mkubwa, nipo pale Kariakoo kwa hiyo ningependa kusikia swali lolote toka kwenu wadau.
==========

Hizi ni sababu kubwa zinazopelekea simu yako kuwa ya moto
1.Program kujiendesha zenyewe
2.Virus ambazo zinashugulisha program zisizo htajika kurun in background
3.Kufunga program ulikuwa unatumia kwa kutumia hom button

MASULIHISHO
  1. Hakikisha unafunga program yako kwa kutumia back button kwan hyo program ambayo ulikuwa unatumia itafunga moja moja
  2. Ukiweka angalia usidownload programm zozote ambazo zinakuwa zina pop up kwan zinaleta virus kwa kiasi kikubwa

Au tatizo likizidi kwa simu yako tafadhali kama una uwezo kuiflash sim yako au kuiupdates kama virus watakuwa wameathiri kwa kiasi kikubwa au tunaweza kuwasiliana kwa namba 0653868632 au fika Kariakoo soft barabara ya uhuru kwenye screen kubwa, pale ya matangazo ukifika pale tunaweza wasiliana ukaja ofisini
 
kuunlock sim za promotion kwa mfano kama tecno y3+,tecno,huawei,vodafone,bravoz10,halotel,samsung n.k inahtajika box ya kukuwezesha kuunlock box hii inaitwa sigma box baada ya kuwa nayo unaweza maelekezo kutoka google kama hauna itakubd utafute sehem wanazoflash na kuunlock waweze kukutimizia lengo lako
 
kuna njia zaid ya 3 ya kutoa hyo message ya unfortnaterly ya kuroot sim baada ya kuflash ya pili ni.kufanya hard reset au soft
 
lakn kwenye huawei ni rahc xana kwan inahtaj udownload updates ya sim yako kama unataka maelekezo zaid rudisha majibu
 
Naomba unielekeze jinsi ya kupata sms zilizoseviwa kwenye draft kwenye smart phone aina ya tecno p5
 
Natumia sony xperia Z hivi karibuni imekua na shida ya kukata network ninapoweka 3g au pia hata nikizima data baada ya muda network ikata kabisa, hapo tatizo nini??
 
hebu ni PM ofisi yako ilipo nikuletee kazi au weka hapa location ofisi yako ipo mtaa gani
 
Back
Top Bottom