Jifunze intelijensia( civil intelligence society of africa(cisa)

hirorobert

Member
Sep 9, 2011
58
30


Wakubwa wa jamvi mimi sio Yule aliyesema ana intelligence unit yake anatafuta watu na habari ,ni heading tu ila napenda wale wote waliopenda sana kujifunza itellijensia hili ni somo la kwanza tulilopewa wakati huo …haya majibu hapa chini sio nliyoyasema kipindi hicho ila nlitaka na ww u imagine ndo ungekuwa kwenye training ungesemaje/ongeza maoni yako:
Swali lilisema hivi kwanza badilisha hili swali liwe katika lugha ya kiingereza
Swali: unganisha namba tatu(3) na matukio ya kijamii,baada ya kuibadilisha hiyo sentensi sasa Jibu,

Leo HII mimi ningesema hivi:-

Mitandao ni mitatu inayosumbua (TiGo,zain na Voda)
Tarehe zimefungana tatu mwaka huu(11/11/2011)
Kisiasa (CCM)kuna magamba matatu ya kuvuliwa(EL,RA,EC)

Kuna wazee wetu (wanasiasa)-wanashindwa kunyamazia mambo yanayoendelea kitaifa,warioba,kitine,salim
Mambo ya bungeni kichefuchefu(Jairo,luhanjo,ngeleja)
AFYA:-serikali ilipeleka watatu india(Mwakyembe,zitto,prof;mwandosya(wengine walienda na mifuko yao-chami)
Serikali tatu chali.Misri,Tunisia,Libya
Kuna watatu waliaminika maaarufu kivita hawapo(osama,ghaadafi,saadam Hussein)
Kuna mitandao mitatu mikubwa ya kijamii(Twitter,facebook na Myspace)
Kuna namba tatu ambazo zinahusiswa na free masson(666)
ha ha ha ha ha SERIKALI TATU ndo mfumo uliopendekezwa tangu Ile tume ya nyalali
Kuna MARAIS wastaafu watatu kabla ya JK
Wakubwa karibuni...
 
kikosi 2858 nihiki hapa
 

Attachments

  • WALAKA KWENDA KWA RAIS KIKWETE.pdf
    239.4 KB · Views: 185
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom