Nadhani ndugu huyu aliwahi kukwaruzana na Mzee Cheyo huko UDP, ingawa sijui waliishia wapi. Je alikuwa na shughuli zipi za kisiasa baada ya mkwaruzano ule wa UDP?
Huyu marehemu nilikuwa sijamuona kama mika 10 hivi. Nilipokuwa Tanzania tulifanya naye kazi shirika la Bima la Taifa makao Makuu DSM.
alikuwa amejaliwa uwezo/kipaji kikubwa cha kuongea kutetea maslahi ya wafanyakazi. Kwenye vikao/mikutano ya wafanyakazi aliweza kujenga hoja pasipo kuogopa na kuisimamia kwa uhakika na vielelezo.
Je, hakuwahi kuomba kugombea alipoenda huko Maswa uchasguzi wa mwaka huu?
Nadhani ndugu huyu aliwahi kukwaruzana na Mzee Cheyo huko UDP, ingawa sijui waliishia wapi. Je alikuwa na shughuli zipi za kisiasa baada ya mkwaruzano ule wa UDP?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.