Jidulamabambasi is no more!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Wakuu,

Taarifa zilizotufikia zinadai kuwa ndugu yetu (ambaye pia alikuwa JF member) bwana Amani Jidulamabambasi Nzugile hayuko nasi.

Inasemekana katuondoka mchana wa leo. Taarifa kwa kina tutazipata soon
 
Aisee! Hiyo ni atarias! nini tena? Mungu amrehemu huko aendako.
 
One of very interesting and attractive politician who really was transparent and a pure sukuma guy

RIP Amani

our lives in this world ni temporary tu
 
Alipatwa na uvimbe mwilini tangu tarehe 29 Julai 2010, na leo hii asubuhi akazidiwa na akiwa njiani kupelekwa Bugando na akafariki dunia
 
RIP Member mwenzetu..sote tunaelekea hukohuko kusikokwepeka!

Mungu awape nguvu ndugu, jamaa na waliokuwa karibu na marehemu.AMEN

Kifo hutukumbusha kuwa binadamu ni kiumbe dhaifu sana hivyo tuwe wanyenyekevu tu.
 
RIP Jidu,
MODS kama kuna uwezekano hata kutubandikia baadhi ya michango yake humu JF kama ipo. just kumkumbuka.
 
RIP Jidu,
MODS kama kuna uwezekano hata kutubandikia baadhi ya michango yake humu JF kama ipo. just kumkumbuka.
Kaka Tosheka tu kuambiwa alikuwa member....Unataka uendelee kumchambua tena?...Rules za JF acha ziendelee.
 
Dah! Habari ya kusikitisha sana hii hasa kwa watu waliokuwa karibu naye.

Poleni sana wana familia.

Alale salama salimini.
 
Comrade ametangulia....mwenyezimungu aiweke roho yake mahali pema peponi

amin
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raijuun.
Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea
 
Back
Top Bottom