Jicho Pevu Karibuni Tanzania

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
ktk waandishi ninaowafagilia na kuwapa 100% ktk habari za uchunguzi ni KTN TV(JICHO PEVU) hawa jamaa wameiva kiuandishi,wapo tayari kupoteza maisha lakini kuikomboa jamii ya Kenya inayo umia na Madawa ya kulevya

JICHO PEVU waliweza kuitikisa kenya kwa kuwataja hadharani wahusika wakuu wa madawa ya kulevya pasipo kumung'unya maneno ama kuyameza na sasa wanaandaa habari nyingine itakayo lipuka mda si mrefu,

Hii ipo kinyume na waandishi wetu hapa TZ

Ndio maana nawakaribisha wana JICHO PEVU kuja kutoa elimu kwa waandishi wetu jinsi ya kufanya habari za kiuchunguzi

nadhani wana JICHO PEVU wapo humu wanasoma habari hii,tunawaomba mje mtoe mfano kwa kuchunguza habari ya madawa yaliyokamatwa kule mtwara ili tujue mbivu na mbichi

Jicho pevu karibu tz

KTN - Jicho Pevu Part 1 (The Untouchables) - Nov 2011 - YouTube
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom