Jicho ndani ya ukumbi wa Bunge: Msuko wa Spika anaonekana mwaaaaa!

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Wadau nimevutiwa na madam Spika leo kapendeza alivyosuka nywele,Pengine atapunguza hata unoko hadi nywele zifumuke.Congrats madam you look good.
 
mkuu akili ni nywele, inawezekana amepata siri ya urembo...lete picha basi
 
wadau embu tuweke msuko wa madame pembeni tupeni mrejesho manongalia bunge kauli ya waziri wa ajir KUHUSU FAO la kujitoa
 
Huna Lolote hata asuke vipi na kujiremba vipi hawazi kuonekana, tatizo lake ni sura mbaya kam moyo wake?
muulize waume wake wako wapi hii leo? ndio utajua Roho yake ilivyo...

Mtoa mada utakuwa na ugovi na mkeo/mmeo so kila mtu unamuona sex!
 
wadau embu tuweke msuko wa madame pembeni tupeni mrejesho manongalia bunge kauli ya waziri wa ajir KUHUSU FAO la kujitoa

kwa kweli msuko sio issue, kwangu mie hata angenyoa kipara, ikiwa anasimamia vzr kanuni na sheria za bunge kwa maslahi ya wananchi wa jamhuri ingekuwa poa tu.
 
Hivi nyimbo ya Tuache Tamaa mbaya aliimba nani vile? aah ngoja nipite tu nitunze nguvu for 2015
 
Wadau nimevutiwa na madam Spika leo kapendeza alivyosuka nywele,Pengine atapunguza hata unoko hadi nywele zifumuke.Congrats madam you look good.

Ndio tatizo la kuwa na speaker mwanamke, badala ya kuangalia capacity yake tunabaki kuona ni sahihi kuwa kwenye kile kiti kisa nywele zake zimesukwa vizuri!! Kwanza ni nywele zake original au za dukani?
 
Dah!
Kweli watu tumetofautiana kuangalia mambo!!
Yaani katika bunge la leo mtoa mada kaona issue kubwa ni msuko wa speaker??
Wonders shall never end!!
 
Wewe emu niambie kasemaje kuhusu FAO la kujitoa mambo ya kusuka nitayafatilia kwa BINTI SEPETU.
 
Bi Kiroboto kapendeza? Haiwezekani, hata kama una makengeza huwezi kosea kiasi hicho. Nina uhakika umetumwa wewe kuja kumsifia hapa
 
Back
Top Bottom