Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

Sio mara ya kwanza kufanya hivyo. Jinsi wanavyofanya mbinu chafu, ndio kwanza wapinzani wanavyojifunza kuzikabili. Hayo ndiyo mapambano, mwisho wa siku anayekubalika na wapiga kura atashinda.
 
Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen

acha uongo wewe hatujaipenda CHADEMA kwa sababu ya Kamanda LEMA, yeye ni mpiganaji mwenzetu na wala hajafanya kibaya kusababisha kuchukia chama chetu tukufu CHADEMA. Tutaendelea kuungana hadi nchi nzima ikombolewe toka kwenye udhalimu wa serikali ya ccm. Kwa taarifa yako zaidi ya 60% now wanainga mkono hata ndugu zetu wengi wanakadi za ccm tu ili wasiaribiwe biashara zao na ccm lakini moyoni mwao wako pamoja nasi. Na kwa hali hii ccm ijitaarishe kuwa chama marehemu.
 
Makamanda nashauri hawa watu watatu waliomshitaki lema wachomewe nyumba zao kwa sababu tukiwaendekeza watatufikisha kubaya
Naomba kuwasilisha


ndio sera za chama chenu nini ? duh kweli uwezo wako wa kufikiri upo chini.
 
kwenye kesi zote zinazohusu uchaguzi wa 2010 ccm wameanza kuchangisha pesa kwa ajili ya chaguzi ndogo, inawezekana wanajua kile kinachoendelea kwenye hukumu za kesi hizo.
Unapojaribu kutoa mawazo ya kufanyia kazi au utaonekana zumbukuku, ila ni vema kuzingatia kinachoongelewa kwenye jukwaa.
Wengine wanageuza eneo hili kama sehemu ya kuwaona wenzao hawana akili, jamani tubadilike ushabiki wetu ni mzuri lakini pia tuangalia yale yaliyo mbele yetu.

nimewataadharisha tuone uwezekano wa kuongeza kura wanaongea ushabiki badala watoe ushauri tufanyaje kuongeza kura maana jimbo tayari liko wazi uchaguzi muhimu. Na haitakiwi kulipoteza tulitete
 
Wakuu, kwani kesi yenyewe ilikuwa ni ya kuhusu nini?

Hatuna sababu ya kueleza yote hapa nakushauri kesho asubuhi nunua gazeti la Mwananchi utapata habari nzima.
Mkubwa imetuuma sana kuona haki ya wanyongwe inabakwa na watu kama hawa.!
 
Wana jf, ukweli ni kwamba Lema sio saaaaana. Tumtose Lema, kamanda wetu aingie bungeni.... Hapo vipi?!
acha uj*nga wako ww, kmbka igunga mlianza propaganda kuwa slaa atagombea hakugombea, mkaja arumeru na penyewe hkugombea, sasa mnataka mjiingize na AR....kwani umeambiwa amepigwa ban kugombea tena? au unaropoka kama ulivyotumwa na akina nape. kwanza mchezo wenu tuliujua siku nyingi mkaja na propoganda za nape kuipongeza chadema na nassari kwa ujumla, mwenyekiti wenu nae akampongeza huku katibu akikataa chadema haikushinda. maana chadema imemshinda EL na cyo ccm.
 
Kwanza kabisa arusha naomba mumshukuru Mungu amewapa nafasi nyingine ya kumrudisha kwenye harakati Mh Godbless Lema please thibitisheni kama mmeichoka ccm
 
kwa upeo wangu navyowafahamu chadema hawana mbongo za hovyo kama za magamba, hizo ni kwa ajiri ya magamba tu yaani it is only exclusive to magambaz, watchout that!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Niko Arusha, hivi huu ulinzi mkali namna hii ni dalili kwamba walikuwa wamejua matokeo ya hukumu?. Mahakama zetu haziaminiki? Je si kwamba polisi walikuwa wanajua matokeo. Nimhesabu polisi wanafika 200! Ni hatari tupu.

Jamanio vitu vingine havihitaji PHD kufahamau! Leo ilikuwa ni siku ya hukumu na kesi hiyo ilikuwa imevuta wengi hivyo suala la polisi kuchukua tahadhari lilikuwa muhimu maana huwezi tabiri nini kitatokea. Tuache ku exaggerate mambo.
 
Back
Top Bottom