Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,732
Binadamu wataichapa ccm na Mungu pia ataichapa CCM.
WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA!
wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa.
View attachment 51051[/QUOTE
kwa hiyo roho zao zimeridhika.
Poa mkuu ngoja ni correct,sii unajua tena nilikua napanga bajeti za kampeni nikapitiwa!na vp nipate mtaji teh teh teh.Ukiondoa herufi e kwenye jina lako unaonekana wewe ni Magamba.
Ili uweze kugombea jifunze kuandika kiswahili fasaha. Sii udaktali ni udaktari.
Ficha upumbavu wako, usifiche hekima yako.Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen
Napenda kuwaeleza kwamba, haya yote yanayomkuta Lema ni kutokana na nyie kutumiwa na mafisadi kuweza kukandamiza haki ya mnyonge.
Tazameni sasa damu yetu wana Arusha inaenda kumwagika wakati wote wa kampeni mpaka uchaguzi ujao hapo Arusha.
Mmekubali kutumika ili kuweza kumkomoa lema lakini kumbukeni kwamba nguvu ya umma kamwe haiwezi kuzimwa na nyie. Kitu gani kiliwawasha mpaka mkafanya hivyo?
Anyway mumjgu yupo one day atakuja kudhihirisha ukweli juu ya jambo hili.
Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen
WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA!
wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa.
View attachment 51051[/QUOTE
kwa hiyo roho zao zimeridhika.
sana tu.
WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA!
wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa.
View attachment 51051