Jibu maarufu la Serikali bungeni

'suala hili linazungumzika na wizara yangu italifanyia kazi. Ninachokuomba mh mbunge tukitoka hapa tuwasiliane tuone ni jinsi gani tunaweza kulipatia ufumbuzi jambo hili, naamini tutalipatia ufumbuzi'.
 
Nimedondoa hii kutoka Hansards, hapo kwenye red inafurahisha sana:
....lakini
- tunataka kulihakikishia Bunge lako Tukufu kwamba kazi hiyo itafanyika na itafanyika kikweli,
- matokeo tutakuja
kuyaonyesha hapa katika Bunge lako Tukufu.
- Tunaomba tu tupewe muda
kwa sababu hakuna kitu kinachofanywa mara moja lakini matokeo tutakuja kuyaonyesha hapa katika Bunge lako Tukufu.
 
Serikali ya chama cha mapinduzi imeiweka hiyo barabara katika mpango wa miaka mitatu ijayo.
 
...... Tatizo ni ufinyu wa bajeti.

......Ukosefu wa fedha ndio unaotukwamisha. Ila nia ipo na taratibu zote zimekamilika
 
Back
Top Bottom