Jibu la "sijui" katika kipima joto itv

Pumb

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
295
104
Wadau mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa watu wanaoshindwa kujibu maswali rahisi ya kipima joto cha itv na kusema HAWAJUI uelewa wao ni mdogo sana au? Mfano swali la leo..JE WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA PINDI BEI INAPOSHUKA NA KUPANDISHA BEI PINDI YANAPOBAINIKA...JE WAFUTIWE LESENI? ...hapo jibu la sijui linatoka wapi?
 
This is Business. ... Mtu akituma Text "sijui" bado anaendelea Kukatwa kwa simu yake

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ndio hajua ikiwa afutiwe leseni au apunguziwe kodi kujiwezesha tatizo liko wapi kwenye (sijui)

Mleta mada nazani umesahau ya kuwa sio watu wote wenye akili
(Ndio maana chuo kikuu kuna mitihani)
 
Naunga mkono.
 
Wadau mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa watu wanaoshindwa kujibu maswali rahisi ya kipima joto cha itv na kusema HAWAJUI uelewa wao ni mdogo sana au? Mfano swali la leo..JE WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA PINDI BEI INAPOSHUKA NA KUPANDISHA BEI PINDI YANAPOBAINIKA...JE WAFUTIWE LESENI? ...hapo jibu la sijui linatoka wapi?

Hili kupata data kamili, wale wote wanaokosea namna yakutuma majibu yao (NDIO au HAPANA) wanawekwa kwenye kundi la watu ambao HAWAJUI kwa maana ya kuwa wamekosea kutuma ujumbe wao. Ni asilimia ndogo sana wanaoweza kusema hawajui ilihali wanajua wanapoteza credit kwenye simu lakini wapo wachache wao.
 
Wadau mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa watu wanaoshindwa kujibu maswali rahisi ya kipima joto cha itv na kusema HAWAJUI uelewa wao ni mdogo sana au? Mfano swali la leo..JE WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA PINDI BEI INAPOSHUKA NA KUPANDISHA BEI PINDI YANAPOBAINIKA...JE WAFUTIWE LESENI? ...hapo jibu la sijui linatoka wapi?

Unavyofikiri wewe si anavyofikiri binadamu mwenzako; akisema kuwa 'hajui', ni kweli hajui.
 
Wadau mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa watu wanaoshindwa kujibu maswali rahisi ya kipima joto cha itv na kusema HAWAJUI uelewa wao ni mdogo sana au? Mfano swali la leo..JE WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA PINDI BEI INAPOSHUKA NA KUPANDISHA BEI PINDI YANAPOBAINIKA...JE WAFUTIWE LESENI? ...hapo jibu la sijui linatoka wapi?

Ni sawa na mimi nikuulize,mwishoni mwa jina lako ungependa niongeze herufi gani, 'a' au 'u'?
 
Ndio hajua ikiwa afutiwe leseni au apunguziwe kodi kujiwezesha tatizo liko wapi kwenye (sijui)

Mleta mada nazani umesahau ya kuwa sio watu wote wenye akili
(Ndio maana chuo kikuu kuna mitihani)

Kila mtu ana akili ila zinapishana uwezo na effective functioning
 
Wadau mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa watu wanaoshindwa kujibu maswali rahisi ya kipima joto cha itv na kusema HAWAJUI uelewa wao ni mdogo sana au? Mfano swali la leo..JE WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA PINDI BEI INAPOSHUKA NA KUPANDISHA BEI PINDI YANAPOBAINIKA...JE WAFUTIWE LESENI? ...hapo jibu la sijui linatoka wapi?

Sasa kama hajui kuwa mafuta hufichwa ajibu nini?
 
Back
Top Bottom