Jibu la prof Sheriff kwa prof Tibaijuka

Kelele hizi za muungano hazina tija, zinzkera na zinztupotezea muda kabisa ni bora ipitishwe kurea ya maoni tu wananchi waamue kila mtu achukue chake.
Hakuna cha kura ya maoni, Zanzibar kuna mafuta pale, only the fool will think of parting with such a partiner.
I love you Zanzibar.
 
Na wao wamelala, hizo fedha mtazopata mtakuwa mnatibia majeraha na majeruhi na kuomboleza vilio vya kila siku. Dunia ya leo sio ya zamani.

Tupo tayari kufa.
Bara na Zanzibar ni kama Gamba na CCM.I love Zanzibar
 
Msipoteze muda, mafuta Zanzibar hayapo, yangekuwapo hao wakubwa wangekuwa wanakumbana vikumbo hapo Zenji kutafuta tenda. Wazanzibar wanadanganywa, na kama kweli yangekuwapo wanavyodhalilishwa wabunge wa Zenji bungeni si wangetoka?
 
Kama Hassan Nassor Moyo anasema vijana wa zanzibar wa leo sio sawa na wa miaka ya 60 hawa vijana wa bara ndio kabisa hawataki kusikia huu upuuzi wa wazanzibar kuja kujenga bara lakini wabara hawarukusiwi kujenga visiwani ingekuwa amri yao Zanzibar ingekuwa wilaya nyingine tu ya mkoa wa Tanga!! Wanatumia umeme halafu wanashindwa kulipia na kutupigia kelele nyingi za kutaka kuvunja muungano; lipeni madeni yenu kwanza halafu muone kama hizo ndoto zenu za kuwa na mafuta zitatimia kweli!!
 
Shule yangu Ilboru inasifika sana
popote ninapokwenda , inasifika sana,
kwa nidhamu na masomo inasifika sana.
Shule angu naku peenda.

walimu wafanyakazi wanasifika sana. ( hapa namkumbuka mpishi mzee Lukuumay na Erasto)

Jamani Bino yupo. navipi kile kigari chake MZC 611 siku hizi kimesajiliwa kwa namba gani.

Ilboru nakupenda sana.

Endelea kuipenda, ni shule iliyojengwa na WAKATOLIKI
 
Ndugu yangu Takishi sasa hapo tumlaumu nani? Shamhuna aliyesuka mpango na hata kumteua mwakilishi au Prof. Tibaijuka aliyeshirikiana na Shamhuna? Ingekuwa vituko kama Prof Tibaijuka hata baada ya majadiliano na waziri mwenziwe apande boti na kuwaeleza wawakilishi juu ya kile walichofikia! Na hapa ndio napata wasiwasi kwa nini mashambulizi yanakuwa kwa waziri wa bara na sio kwa upande wa Zanzibar? Muulizeni Shamhuna alishauriana nani?

Kuhusu Shamuhuna , ujumbe ameupata Barazani. Wawakilishi wa CCM na CUF wamemtaka ajiuzulu . Vile vile wemetishia kutumia kifunga cha sheria ,kinachowapa wawakilishi uhuru kupiga kura ya kutokua na imani na Serikali.

Kuhusu Tibaijuka na Tanganyika ...Wazanzibari wamechoshwa na tabia hizi mbaya ,maamuzi yote yaamuliwe Tanganyika. Tunaelewa kuna vibaraka wanatumiwa lakini hakuna mwisho mwema. Kanuni ya kidunia haitaruhusu dhuluma idumu milele. Msitufikishe mahala takawa hatuna cha kupoteza. Hapo Tanaganyika na Zanzibar hazitokuwa kama ilivyo sasa hivi.
 
Hivi nyinyi Wazanzibari mbona mna vichwa vigumu kuelewa. Ngoja nirudie kile walichojaribu kusema wenzangu. Kama ilivyo kwa BLW pia bunge la JMT halikushirikishwa kwenye jambo hili. Sio kila jambo lazima liende kwenye bunge JMT au BLW. Serikali zote mbili ile JMT na SMZ vilihusishwa kikamilifu.

Hili jambo lilipita kwenye baraza la mawaziri wa JMT ambamo wapo wajumbe kutoka ZNZ, kama Dr. Shein (waziri asiye na wizara maalumu), Dr. Bilal (VP), Shamusi Vuai Nahodha, Omari Nundu etc. Hawa wote ni Wazanzibari
.

Akili za kwako changanya na za mbayuwayu, TAFAKARI, Hivi unafikiri huyo Shamuhuna alitoraka kwenda UN? Ndiyo maana nikakwambia changanya akili. Ukweli dhahiri shahiri ni kwamba serikari ya JMT ilikuwa ikifahamu jambo hili, SMZ ilifahamu vizuri jambo hili, ndiyo maana akimutuma Shamuhuna kwenda UN kuiwakilisha. BLW kutofahamu that is another cup of tea. Luckily enough SUK ZNZ inao wajumbe wa CUF.

Ndiyo maana CDM mojawapo ya mapendekezo yao ktk katiba mpya ni kupunguza madaraka ya Rais, kwa kudhibitiwa na bunge. Kama hao mawaziri wote amewateua yeye single handed nani ana ubavu wa kumakatalia matakwa yake ndani ya baraza la mawaziri?! Lakini kama jambo hili lingekuwa linapelekwa bungeni kuidhinishwa inabidi Rais ajishauri mara mbili mbili, hasa kama ni shauri controversial au la kipumbavu.

Huu mgongoro wote umelala kwenye mambo makuu mawili 1. MUUNDO MBOVU WA MUUNGANO na KATIBA MBOVU YA JMT. Next time tieni akili vichwani, Tundu Lissu ataka powaeleza huo ukweli. Achaneni na huyo Moyo mnaye muona leo shujaa, ni "nunga yembe" jingine, muulizeni alifanya nini kurekebisha hizo kasoro alipokuwa madarakani?.

Kwa ujinga wenu, no wonder mnaongozwa na Rais ambaye in the first place hakutakiwa kuwemo hata kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi. Dunia yote inafahamu kwamba 2010, Dr. Shein alikuwa hajakaa Zanzibar kwa miaka mitano mfululizo ili ku qualify kupata kitambulisho cha "Mzanzibari mukaazi" Kigezo hicho ndiyo kinampatia haki Mzanzibari kuchagua au kuchaguliwa kuwa kiongozi. Lakini Shein hakuwa na Sifa hiyo lakini bado mukauziwa mbuzi kwenye gunia!

Baraza la Mapinduzi (baraza la mawaziri) la Zanzibar halikuwa na taarifa. Balozi Seif Iddi , kiongozi wa Serikali katika baraza la wawakilishi alisema mbele ya baraza la wawakilishi kama yeye hakujua lolote.
 
Kama Hassan Nassor Moyo anasema vijana wa zanzibar wa leo sio sawa na wa miaka ya 60 hawa vijana wa bara ndio kabisa hawataki kusikia huu upuuzi wa wazanzibar kuja kujenga bara lakini wabara hawarukusiwi kujenga visiwani ingekuwa amri yao Zanzibar ingekuwa wilaya nyingine tu ya mkoa wa Tanga!! Wanatumia umeme halafu wanashindwa kulipia na kutupigia kelele nyingi za kutaka kuvunja muungano; lipeni madeni yenu kwanza halafu muone kama hizo ndoto zenu za kuwa na mafuta zitatimia kweli!!

Vijana wa Tanganyika kama kweli hamna usingizi mzito, rudisheni Serikali yenu ya Tanganyika...
 
It seems that mainland leaders feel that if you have a few Zanzibaris in your gang, then Zanzibaris are represented

Hii comment ya huyu ndugu yetu vipi??????????????????? How many Zanzibaris need to be in the gang to mark the so called represantation? Na kwa mtizamo huo huo kunatakiwa kuwe na mainland wangapi na wazanzibar wangapi ili represantation ionekane fair?
 
Nchi inaitwa tanzania kwenye ramani ipo ila nchi inayoitwa zanzibar, UNGUNJA au pemba hazipo? ni mikoa tu ya tanzania.

Hilo neno hapo vipi! Kwa hiyo Tanzania itakua ina mikoa mingapi? Kumbe wakitwambia Tanzania ina mikoa 26 hua wanatudanganya!
 
Kwanza swala la kujiuliza Wazanzibar ni kina nani, na wametoka wapi. Na ndipo swala la muungano litakuwa na ufumbuzi.
Katika swala zima la muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Jambo la kwanza la msingi ni kufahamu historia yako, pamoja
uhalali wa watu na uhasilia wao, mbali na upotoshwaji wa Waarabu, Wapershen na wahindi. Ambao wanataka kuirudisha
Zanzibar katika karne ya 16. Chini ya mikono ya watu wa Oman, in the way of " Conflict of interest " kwa sababu crud oil
inawasumbuwa vichwa vyao, na kuwaza tayari wameshakuwa matajiri wa haraka haraka. Kunako miaka 3,500 iliyopita
wafanya biashara na wavumbuzi wa wa Kiegyptian, wa Kichina, wa Kiroma, wa Kigiriki, wa Kipershen ambao ni wairan,
wa Kihindi na wa Kiarabu, waliitumia Zanzibar kama kituo kwa kusimama na kupumzika katika misafara yao.
Watu wa kwanza kwenda " Unguja " ni wabantu kutoka Bara la Afrika. Wandengeleko, Wamakonde, Wanyamwezi,
Wasukuma, Waha, Wanyarwanda na makabila mengine zaidi. na hiyo inakisiwa ilikuwa kwenye karne ya 4 A.D.
( 4th Century A. D. )
Katika mwaka 1698 wa Oman walidai rasmi kama kisiwa cha Zanzibar kipo chini ya utawala wao.
Katika mwaka 1840 Sultan Seyyid Said wa Oman aliondoa makao yake ya usultan kutoka Muscat, Oman na kuhamia Zanzibar.
Zanzibar ilibakia kuwa Capital ya Sultanate ya Oman mpaka hapo Sultan Seyyid Said alipofariki mwaka 1856.
Tokea muda wote huo mpaka kufikia mwaka 1964 yalifanyika mapinduzi ya kumuondoa Sultan katika madaraka.
mapinduzi yaliongozwa na Hayati Karume ambaye familia yake ilitokea Rwanda. " Unguja " ni jina la asili ya hapo, na
lilipokezwa na jina la Zanzibar kutoka kwa Waarabu, Zinj, in maana " Weusi, " na al - Bar, ina maana " Nchi ya. "
na hiyo ndio " ZANZIBAR " ina maana " Nchi ya Weusi " sasa basi ikiwa Sultan wa Kiarabu tokea mwaka 1698 anakutambua
kama wewe ndio mwenye kisiwa cha Unguja sasa kwa nini na wewe usijitambue na kuweka sawa hatma ya muungano.
Wote tuelewe kama civilization ndio imetufanya tuwe na status za muungano. Kiukweli hiyo ni sehemu asilia ya Bara kama
Kilwa na Mafia. mjielewe kama karne ya 4 mlitokea Bara wakati huo Tanzania inaitwa " Pwani ufukweni kwa wale watu wapole "
Kwa Kiarabu " SAWAHIL " " Pwani, Ufukweni au watu wa pwani " na hii lugha tuliyonayo ndio imezaliwa kutoka katika neno
ilo la Kiarabu. Kufikia mwaka 1885 - 1919 Tanzania yetu ilikuwa inaitwa " GERMAN EAST AFRICA " na jina ilo limetokana na
kampuni ya Kijerumani iliyokuwa ina colonized nchi yetu ukijumlisha Rwanda na Burundi. Jina la " TANGANYIKA " ni jina
asilia kutoka " Ziwa Tanganyika " na lilianza kutumiwa na Waingereza mwaka 1919. Baada ya Mjerumani kushindwa vita
vikuu vya kwanza, na nchi yetu kuwa chini ya udhamini wa umoja wa mataifa chini ya usimamizi wa mwingereza. na
wakati huo huo kupoteza majimbo mawili ambayo yalichukuliwa na Mfaransa na kufanywa nchi ya Rwanda na Burundi.
Si unaona sasa hapo Wzungu na Waarabu walivyotugawanyagawanya. Swala lingine bado amjajielewa la udini kuzarau
dini zingine ni makosa makubwa sana. Tuelewe kuwa Wamissionary ndio wliosimamisha utumwa Zanzibar. Na kumlazisha
Sultan Seyyid Barghash tarehe 6 june 1873 kuliondoa soko la watumwa. Na badala yake wakajenga Kanisa la Kikatoliki.
" JOSEPH CATHEDRAL. " Pale Stone Town, TUMETOKA MBALI NA TUELEWE KULE TUNAPOKWENDA. hii ni kwa ufupi
jihabarishe zaidi kuelewa tulipotoka.

Click Here: Seton Hall | Law - About Zanzibar

Historical Sites of Zanzibar
 
huu muungano uliletwa na cia wala si wazo la watanganyika wala wazanzibari. So long as wenye kuutaka muungano bado wapo na wanajua maslahi ya huo muungano, basi huu muungano utadumu milele na mpaka wa bahari unaongezwa kama kawaida. Tutapiga mikelele hapa na kusigana vidole mambo yatabaki kama yalivyo. Kwa kifupi tu si mwananchi wa tandahimba, kamachumu, kalinzi, tinde wala mchambawima au dole anayefaidika na hilo ongezeko la bahari. Wanaofaidi wapo na wanajua maana yake ni nini. Zanzibar na tanganyika ziliunganishwa wala hazijawahi ungana
 
Nchi inaitwa tanzania kwenye ramani ipo ila nchi inayoitwa zanzibar, ungunja au pemba hazipo? ni mikoa tu ya tanzania.

Hakuna nchi inayoitwa Tanzania duniani. Pitia ramani zote na pitia hata Katiba yenu na ile ya Znz hutaliona jina hilo.

Bali kuna nchi inayouitwa Jamhuri ya muungano ya Tanzania.

Ukisema Tanzania wenjgi wetu tunaelewa ni tanganyika. sababu watanganyika wameukana na kulikana jina lao tanganyika na kujivika UTanzania.
Je wajua kwanini wakaita Jamhuri ya Muungano?

Kwanza swala la kujiuliza Wazanzibar ni kina nani, na wametoka wapi. Na ndipo swala la muungano litakuwa na ufumbuzi.
Katika swala zima la muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Jambo la kwanza la msingi ni kufahamu historia yako, pamoja
uhalali wa watu na uhasilia wao, mbali na upotoshwaji wa Waarabu, Wapershen na wahindi. Ambao wanataka kuirudisha
Zanzibar katika karne ya 16. Chini ya mikono ya watu wa Oman, in the way of " Conflict of interest " kwa sababu crud oil
inawasumbuwa vichwa vyao, na kuwaza tayari wameshakuwa matajiri wa haraka haraka. Kunako miaka 3,500 iliyopita
wafanya biashara na wavumbuzi wa wa Kiegyptian, wa Kichina, wa Kiroma, wa Kigiriki, wa Kipershen ambao ni wairan,
wa Kihindi na wa Kiarabu, waliitumia Zanzibar kama kituo kwa kusimama na kupumzika katika misafara yao.
Watu wa kwanza kwenda " Unguja " ni wabantu kutoka Bara la Afrika. Wandengeleko, Wamakonde, Wanyamwezi,
Wasukuma, Waha, Wanyarwanda na makabila mengine zaidi. na hiyo inakisiwa ilikuwa kwenye karne ya 4 A.D.
( 4th Century A. D. )
Katika mwaka 1698 wa Oman walidai rasmi kama kisiwa cha Zanzibar kipo chini ya utawala wao.
Katika mwaka 1840 Sultan Seyyid Said wa Oman aliondoa makao yake ya usultan kutoka Muscat, Oman na kuhamia Zanzibar.
Zanzibar ilibakia kuwa Capital ya Sultanate ya Oman mpaka hapo Sultan Seyyid Said alipofariki mwaka 1856.
Tokea muda wote huo mpaka kufikia mwaka 1964 yalifanyika mapinduzi ya kumuondoa Sultan katika madaraka.
mapinduzi yaliongozwa na Hayati Karume ambaye familia yake ilitokea Rwanda. " Unguja " ni jina la asili ya hapo, na
lilipokezwa na jina la Zanzibar kutoka kwa Waarabu, Zinj, in maana " Weusi, " na al - Bar, ina maana " Nchi ya. "
na hiyo ndio " ZANZIBAR " ina maana " Nchi ya Weusi " sasa basi ikiwa Sultan wa Kiarabu tokea mwaka 1698 anakutambua
kama wewe ndio mwenye kisiwa cha Unguja sasa kwa nini na wewe usijitambue na kuweka sawa hatma ya muungano.
Wote tuelewe kama civilization ndio imetufanya tuwe na status za muungano. Kiukweli hiyo ni sehemu asilia ya Bara kama
Kilwa na Mafia. mjielewe kama karne ya 4 mlitokea Bara wakati huo Tanzania inaitwa " Pwani ufukweni kwa wale watu wapole "
Kwa Kiarabu " SAWAHIL " " Pwani, Ufukweni au watu wa pwani " na hii lugha tuliyonayo ndio imezaliwa kutoka katika neno
ilo la Kiarabu. Kufikia mwaka 1885 - 1919 Tanzania yetu ilikuwa inaitwa " GERMAN EAST AFRICA " na jina ilo limetokana na
kampuni ya Kijerumani iliyokuwa ina colonized nchi yetu ukijumlisha Rwanda na Burundi. Jina la " TANGANYIKA " ni jina
asilia kutoka " Ziwa Tanganyika " na lilianza kutumiwa na Waingereza mwaka 1919. Baada ya Mjerumani kushindwa vita
vikuu vya kwanza, na nchi yetu kuwa chini ya udhamini wa umoja wa mataifa chini ya usimamizi wa mwingereza. na
wakati huo huo kupoteza majimbo mawili ambayo yalichukuliwa na Mfaransa na kufanywa nchi ya Rwanda na Burundi.
Si unaona sasa hapo Wzungu na Waarabu walivyotugawanyagawanya. Swala lingine bado amjajielewa la udini kuzarau
dini zingine ni makosa makubwa sana. Tuelewe kuwa Wamissionary ndio wliosimamisha utumwa Zanzibar. Na kumlazisha
Sultan Seyyid Barghash tarehe 6 june 1873 kuliondoa soko la watumwa. Na badala yake wakajenga Kanisa la Kikatoliki.
" JOSEPH CATHEDRAL. " Pale Stone Town, TUMETOKA MBALI NA TUELEWE KULE TUNAPOKWENDA. hii ni kwa ufupi
jihabarishe zaidi kuelewa tulipotoka.

Click Here: Seton Hall | Law - About Zanzibar

Historical Sites of Zanzibar

Nafikiri ni vizuri uangalie na watanganyika ni watu gani vile vile kwani kuna wengi sana ni waganda, warundi, wanyarwanda, kutoka msumbiji, kenya na kwengineko.

Lakin ukisoma katiba zote mbili zimabainisha wa Znz ni watu gani. mengine yote yawe story tu, Na kama unataka historia ya Znz tuwekee uzi maalum tukupe darsa,

Guys, smell the coffee. Wacheni kutumia jazba au kuwadharau wazanzibari. Kuwa ni nchi ndogo haimaanishi munaweza kuwaburuza munavo taka nyinyi. Wazanzibari wametaka referendum kuhusu muungano na nyinyi mumeng'ang'ania tu, hamutaki kuwapa nafasi kujiamulia. Munafurahi s.sudan walipopata uhuru wao hata Mkapa alikuwepo huko lakini likija sualla ka zanaibar, muanatafuta kila sababu ya kuwakandamiza.
Nimeoma hoja zenu ukumbini na ni wazi kabisa munazungumza kupitia mioyo yenu na sio akili zenu. Tanzania ni nchi ya kusadikika, haipo ni ndoto tu.
 
Back
Top Bottom