Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Kwani ipo nchi duniani inayoitwa Tanzania? Tazma vizuri katiba na ramani yako.
ipo inchi ya jamhuri ya muungano wa tanzania...tena in capital letters.
Kwani ipo nchi duniani inayoitwa Tanzania? Tazma vizuri katiba na ramani yako.
ilboru ilitoa watu na viatu
ipo inchi ya jamhuri ya muungano wa tanzania...tena in capital letters.
Halafu bila aibu unamkandia Mwalimu. Ilboru ungeiona wapi kama sio MUUNGANO, SERA nzuri za ELIMU za enzi hizo? Mwalimu aliyewachukia WAISLAMU akakupeleka Ilboru, shule alootaifisha kwa WAKRISTO?Shule yangu Ilboru inasifika sana
popote ninapokwenda , inasifika sana,
kwa nidhamu na masomo inasifika sana.
Shule angu naku peenda.
walimu wafanyakazi wanasifika sana. ( hapa namkumbuka mpishi mzee Lukuumay na Erasto)
Jamani Bino yupo. navipi kile kigari chake MZC 611 siku hizi kimesajiliwa kwa namba gani.
Ilboru nakupenda sana.
Kwa KATIBA ipi? Tuache kufikiri na kufanya vitu kwa hisia au mazoea.Tibaijuka kalikoroga.
Anachosema Professor Sharif ni ndicho inavyokuwa. Hawa watu ni wizi na sasa wanataka kuiiba nchi nzima na mipaka yake, Wazanzibari msikubali hili na tupa wa bara ambao tunawaunga mkono.
Ikiwa Muungano na uvunjike, kwani una manufaa yepi kwa bara na au visiwani?
Hapa wale wa bara wanaosema kila siku Muungano uvunjike leo tutawaona unafik wao! Jee, bado uvunjike au kwanza mipaka iongezwe?
Nani kamwibia nani? Nini kimeibiwa?Huna hoja, hoja hapa ni wizi.
Natofautiana kabisa na Prof Shariff. Sio kila raia Tanzania bara anajua kila kitu kuhusu huu mchakato wa kuomba nyongeza ya eneo la bahari. Na hata bunge letu sio wabunge wote (wa bara na visiwani) wanlifahamu hili. Na sioni ni kwa vipi serikali inaweza kufanya kazi kwa kuongea na watu milioni 40 kwa kila jambo. Yapo mambo yanajadiliwa katika bunge, baraza la wawakili, na yapo mambo yanajadiliwa katiba baraza la mawaziri. Huo ndio mfumo tulionao. Na kwenye mchakato huu serikali ya mapinduzi Zanzibar ilishirikishwa kikamilifu kupitia cabinet. Kama Prof Sharif na Jussa hawakupata taarifa sio hoja maana wao hawapo kwenye cabinet.
Hizi kelele za kuwa tunaonewa zinaonekana kupanda nyuzi joto tangu CUF kuingia serikalini. Lakini wengi wanafahamu kuwa CUF wanaamini Tangayinka ndio imekuwa kikwazo kwao (CUF) kutekeleza azma wa wajomba zao. Na wapo waliokiuwa na mawazo sawa na CUF lakini hawakujitokeza hadharani pengine kwa kuhofia kuwa kitumbua kingeingia mchanga. Sasa wanajitokeza maana hakuna boundaries tena. sisi sote ni wamoja! adui yetu ni yule! sisi vs.wao!
Prof Sharif alitaka Prof Anna Tibaijuka apande boti akamweleze Jussa kuwa anaenda UN kuwasilisha maombi? Kwa nini asimkabe koo Dr Shein ambaye ni mjumbe kwenye cabinet ya Jamhuri ya Muungano? Kwa nii asimuulize maswali mwenyekiti wa kamati ya mchakato ambaye anatoka Zanzibar? Kwa nini asiende kwenye ofisi za Wizara ya Ardhi na kuwaamuru waombe msamaha kwa kutowapa wananchi taarifa hizi? Zakia Meghji ameenda New York akiwakilisha Zanzibar kwa nini Prof Sharif na Jussa hawajamuhoji? Prof Anna Tibaijuka anaingiaje hapa?
Hoja kwamba wawakilishi toka pande zote mbili (CCM & CUF) waliunga mkono hoja ya Jussa ni ya kutazama kwa makini. Kabla ya kuwasilisha hii hoja kwenye baraza la wawakilishi Jussa amepita kila mahali akipandisha maruhani ya watu ili wakubaliane na madai yake! Kitu ambacho Jussa hakusema ni kama je mchakato ulimhusisha nani toka Zanzibar? Sasa naona amemvuta Prof Shariff baada ya mambo kuwekwa hadharani na Prof Tibaijuka. Hivi kweli kama kuna kasoro kwenye huu mchakato njia anazotumia Jussa (na sasa Prof Sheriff) ndio sahihi kurebesha? Huku sio kuendeleza siasa za kishwari ambazo CUF wana ujuzi nazo? Kwa nini wasikae chini wakajidili? Kuna siku Jussa au Prof Shariff ametaka kuonana na wajumbe wa kamati husika ili kutoa dukuduku lao? Mambo ya kitoto kabisa haya.
Nani kamwibia nani? Nini kimeibiwa?
Is it true that this article was written by the one who has been introduced as Professor?
Upupu...tibaijuka alienda kwa niaba ya tanzania kwa kua hakuna nchi inayoitwa zanzibar.
Kwa OMBI hili la Tibaijuka? Semeni agenda yenu bwana. Chukueni hatua za wazi. USSR waliweza, Yugoslavia waliweza, Eritrea wameweza, Sudan iliyokuwa moja sasa ziko mbili, tatizo lenu mnafanya mambo kwa visingizio vya kike sana.Haki ya ZANZIBAR inaibiwa na Tanganyika.
.[Niliposema upupu, nilimaanisha kua, huyo prof hakutoa majibu, sanasana alitetea tuu na kuvutia upande wa zanzibar...kama vp ipigwe kura ya maoni zenji na bara muone kama hatutaandika barua nyinginet ya kumiliki hadi zanzibar kwa mara ya pili
haa haa hah...Dawa yenu iko jikoni, hizo agenda za ki-vatican zitawaeka pabaya. WE ARE STILL TO REACH THE BOILING POINT...
Pumba...Zaki Meghji anawakilisha Zanzibar??? katumwa na nani kutoka Zanzibar??? Balozi SEIF Iddi ,kiongozi wa serikali katika baraza amesema yeye hajui wala hana taarifa...Meghji anawakilisha Bara sio ZAnzibar.