Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Hatuwezi kupingana na kitu NECHA! Haiwezekani kabisaaaaaa! Niape?

kama ni hivyo mbona hamuwahalalishi kabisa, mnabakia mnajiiba iba tu, kinachowasumbua ni tamaa tu hamna lolote, na yote yawezekana mtu ukuamua....
 
kweli hii tabia iachwe kama sio kupunguzwa, watu wanapenda kuhalalisha hili kwa ku quote history maybe ya vitabu vya dini, kuna vitu vingi sana tumevirekebisha kuendana na wakati, zamani wazee walikuwa wanavaa ngozi tu, wanawake wanatembea matiti wazi, ila haya yote yamerekebishwa kuendana na wakati, sasa hivi dunia imeharibika, maradhi ni mengi, kuwa na nyumba ndogo ni kumuhalalisha kama mtu wako wa pembeni, ila wanaume wanajua wanayoyafanya hao nyumba ndogo wao wakirudi kulala kwa nyumba zao kubwa?

Hakuna mwanamke ambae hataki kulala usiku mzima kakumbatiwa na ampendaye so ukiondoka anaingia kijana single amaye anampenda kwa dhati analala naye mpaka asubuhi jamaa anaondoka, tunayaona sana haya mitaani mwetu, pia ukiwa na nyumba ndogo ni rahisi sana kuacha kutumia condom sababu umemwaminia sana,hapo sasa ndipo unapojiteketeza
 
Kuna watu wengi tunao wajua na tusio wajua hawana nyumba ndogo. Na hata kama mtu anae, ushauri wa kumpa ni namna gani anaweza kuachana na tabia hiyo.
Hivi unadhani ushauri wa the boss unasaidia nini zaidi ya kukupa confidence ya kufanya ujinga? The Boss kasema as if mwanaume yuko in charge, in control of the situation ila ukitazama katika maisha ya kila siku hana control yoyote. anafanya maamuzi kutokana na influence ya wanawake hao, na vitu vingine vingi ambavyo hawezi control.
Unataka kusema kuwa na nyumba ndogo ni ujinga?
 
Thubutu yake!! Kwanza tu nikijua anafikiria mwanamke mwingine.... Usitake nimalize!! (na hio kuhusiana na hii topic unaniambiaje?? Kwamba ana haki?? kwamba nikimruhusu ndo hatatoka??)
Sasa hao mabinti ambao hawajaolewa/ hawana wapenzi mnataka wahudumiwe na kina nani wakati mnajua fika kabisa kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume?
 
Kwasababu tu kitu hakizuiliki moja kwa moja haina maana kwamba hakiwezi kupunguzwa/kupunguza kasi ya ukuaji wake.
Na kama ingekua kila tunachoona uwepo wake hauzuiliki tunakiacha tu kwasababu hatuwezi kukiondoa watu wasingekua wanakunywa dawa wajuapo wameathirika na ukimwi ..au wana ugonjwa wa kisukari na mengineyo kama hayo. Ishu hapa ni kucontroll ongezeko /punguzo la kinachoendelea kwa kutokisupport na kuonyesha upande wake ambao sio mzuri!

nakubaliana nawe kuhusu kusema ukweli wako hata kama waona the odds are against you...mie kama nilivyosema nyumba ndogo ni tatizo sugu na sioni tiba yake kama imepatikana au kama kuna namna sredi hizi zitapunguza chochote...
 
Kuna idadi kubwa sana ya wanawake kuliko mimi na wewe tunavyoweza kufikiri, wanaoamini kuwa wanaume wote wana nyumba ndogo, Je wewe mwanamke ndivyo unavyoamini. Kwanini hawa wanawake wanaamini hivyo? Kuna sababu moja kubwa tu nayo ni malezi, kuna ukweli kiasi fulani kuwa wanaume huwa wana nyumba ndogo, hali hii inapelekea watu kuamini kuwa wanaume wana hamu kubwa ya tendo la ndoa kuliko wanawake

Uwezekano mkubwa kwamba katika kila wanaume kumi saba wana nyumba ndogo au rafiki wa kike zaidi ya mmoja
 
kuna born fighters na born followers. I am of the first nature. Naamini the change starts somewhere na kwa vile kuna watu wengi hawaipendi hiyo tabia nimeona na sisi tutoe mtazamo wetu baada ya the boss kutoa mtazamo wao.

The Boss ametoa guide kwa wale walio na mpango huo...si lazima awe practitioner wa infidelity...
 
Nimekupata saana JG.... Na nafurahi kua umeona point of view ya sie wanawake na jinsi gani inatuumiza... Mie nafikiri kua... Haya mambo haya it is complicated saana na kuweza tafuta dawa ya kusolve ama kulimaliza tatizo moja kwa moja kazi ipo. Na ikumbukwe kua tunapozungumzia infedility sio lazima ile ya kua na mtu permanent... hapa ni ile hali ya kutoka.... Na ukizingatia the way life inaendelea kuchange... sijui kwakweli huu Ukimwi kama tutapona....

No Asha hata kungekuwa hakuna UKIMWI!
Kama kijamii hichi kitu si sahihi sababu ya madhara yake kwenye jamii zetu hicho kitu ni kibaya tu!
Sina uhakika enzi zile wakati wa mitume kama kulikuwa UKIMWI, lakini bado vitabu vitakatifu vinapinga hili na wala havijasema sababu ni UKIMWI!!

Mi nadhani tunachanganya mambo kwenye hili suala.....
Ile kuwa kwamba hichi kitu ni hakikwepeki kulingana na complications za mahusiano katika nyumba haiwezi kuhalalisha hichi kitu!

Mi nadhani kwamba hata kama tunafanya hii kitu ya nyumba ndogo..... basi sawa lakini tukijua kuwa ni uasi kwa familia zetu na nafsi zetu.....
Hata kama tukihalalisha kwa hoja nzito
 
kama ni hivyo mbona hamuwahalalishi kabisa, mnabakia mnajiiba iba tu, kinachowasumbua ni tamaa tu hamna lolote, na yote yawezekana mtu ukuamua....
Mdada acha uzushi weye......... hebu isome hii tamthiliya hapa chini:

Shem waweza mruhusu hommie aoe mke wa pili?

Thubutu yake!! Kwanza tu nikijua anafikiria mwanamke mwingine.... Usitake nimalize!! (na hio kuhusiana na hii topic unaniambiaje?? Kwamba ana haki?? kwamba nikimruhusu ndo hatatoka??)
 
wakati nasoma mada hii kuna jamaa yangu tuko nae huku tunabeba box....nimemwambia juu ya hii habari ya nyumba ndogo..amenijibu hivi.....'' edson ..kuna kitu watu hawakielewi, nyumba ndogo ni kitu amabacho hakiepukiki ni saw na kula chakula..najua wewe hapo ulipo edson kuna ain ya ya chakula ambacho kwa ndo chakula kikuu...lakini si kweli kwamba hwa unakula hicho tuu kila kisu..kuna siku unabadilisha na unajaribu kuonja radha ya vyakula vingine....hii ni swa na kuwa na mke...ukishaoa na kukaa nae ndani kwa mdan mara gafla utajisema ...ahaa kumbe ni wa kawaida hivi then baada ya hpo utaona matole mengine barabarani na utapenda kuyajaribu na kuonja radha na hapo ndipo nyumba ndogo inaingia.....kwa kifupi kaka eddy ni hivi binadamu huwa hatosheki hata hao kina mama siku hizi na wao wengi wao wana nyumba ndogo wao wanaita windows 7''
 
kuna idadi kubwa sana ya wanawake kuliko mimi na wewe tunavyoweza kufikiri, wanaoamini kuwa wanaume wote wana nyumba ndogo, je wewe mwanamke ndivyo unavyoamini. Kwanini hawa wanawake wanaamini hivyo? Kuna sababu moja kubwa tu nayo ni malezi, kuna ukweli kiasi fulani kuwa wanaume huwa wana nyumba ndogo, hali hii inapelekea watu kuamini kuwa wanaume wana hamu kubwa ya tendo la ndoa kuliko wanawake

uwezekano mkubwa kwamba katika kila wanaume kumi saba wana nyumba ndogo au rafiki wa kike zaidi ya mmoja
unao wanawake wangapi mkuu?
 
wakati nasoma mada hii kuna jamaa yangu tuko nae huku tunabeba box....nimemwambia juu ya hii habari ya nyumba ndogo..amenijibu hivi.....'' edson ..kuna kitu watu hawakielewi, nyumba ndogo ni kitu amabacho hakiepukiki ni saw na kula chakula..najua wewe hapo ulipo edson kuna ain ya ya chakula ambacho kwa ndo chakula kikuu...lakini si kweli kwamba hwa unakula hicho tuu kila kisu..kuna siku unabadilisha na unajaribu kuonja radha ya vyakula vingine....hii ni swa na kuwa na mke...ukishaoa na kukaa nae ndani kwa mdan mara gafla utajisema ...ahaa kumbe ni wa kawaida hivi then baada ya hpo utaona matole mengine barabarani na utapenda kuyajaribu na kuonja radha na hapo ndipo nyumba ndogo inaingia.....kwa kifupi kaka eddy ni hivi binadamu huwa hatosheki hata hao kina mama siku hizi na wao wengi wao wana nyumba ndogo wao wanaita windows 7''
aisee kumbe wanaume ndivo mlivyo eeeh duh kazi kwelikweli
 
Hapa tunazungumzia Nyumba Ndogo, si kupigana........... Sawa?

Now::focus:
But...but...but..

Babu wewe utetezi wako ni yaliyofanywa na wale waliotangulia....sasa swali langu ni kwamba kwasababu tu kitu kilifanywa na aliyetangulia kunakifanya kitu hicho sahihi???

nakubaliana nawe kuhusu kusema ukweli wako hata kama waona the odds are against you...mie kama nilivyosema nyumba ndogo ni tatizo sugu na sioni tiba yake kama imepatikana au kama kuna namna sredi hizi zitapunguza chochote...
Tiba inaweza ikawa haijapatikana ila ipo nafasi ya kupunguza ukuaji wake iwapo wengi watakua against it...na kuongeza ukuaji iwapo wengi watakua wanaisifia na kuelezana mbinu waziwazi!!!
 
wakati nasoma mada hii kuna jamaa yangu tuko nae huku tunabeba box....nimemwambia juu ya hii habari ya nyumba ndogo..amenijibu hivi.....'' edson ..kuna kitu watu hawakielewi, nyumba ndogo ni kitu amabacho hakiepukiki ni saw na kula chakula..najua wewe hapo ulipo edson kuna ain ya ya chakula ambacho kwa ndo chakula kikuu...lakini si kweli kwamba hwa unakula hicho tuu kila kisu..kuna siku unabadilisha na unajaribu kuonja radha ya vyakula vingine....hii ni swa na kuwa na mke...ukishaoa na kukaa nae ndani kwa mdan mara gafla utajisema ...ahaa kumbe ni wa kawaida hivi then baada ya hpo utaona matole mengine barabarani na utapenda kuyajaribu na kuonja radha na hapo ndipo nyumba ndogo inaingia.....kwa kifupi kaka eddy ni hivi binadamu huwa hatosheki hata hao kina mama siku hizi na wao wengi wao wana nyumba ndogo wao wanaita windows 7''

Naomba umuulize huyo rafiki yako kuwa kama mke ni sawa na chakula je mume ni nini????
 
No Asha hata kungekuwa hakuna UKIMWI!
Kama kijamii hichi kitu si sahihi sababu ya madhara yake kwenye jamii zetu hicho kitu ni kibaya tu!
Sina uhakika enzi zile wakati wa mitume kama kulikuwa UKIMWI, lakini bado vitabu vitakatifu vinapinga hili na wala havijasema sababu ni UKIMWI!!

Mi nadhani tunachanganya mambo kwenye hili suala.....
Ile kuwa kwamba hichi kitu ni hakikwepeki kulingana na complications za mahusiano katika nyumba haiwezi kuhalalisha hichi kitu!

Mi nadhani kwamba hata kama tunafanya hii kitu ya nyumba ndogo..... basi sawa lakini tukijua kuwa ni uasi kwa familia zetu na nafsi zetu.....
Hata kama tukihalalisha kwa hoja nzito
ni uasi mkubwa ambao unaweza mpeleka mwenzako kaburini kwa presha, sasa wajiulize wako tayari? kuna mama alimbana mumewe kuhusu nyumba ndogo wakaji jamaa anaomba msamaha na kusem a ukweli yule mama alizimia akalwazwa icu siku mbili kafariki dunia, hamuini kwamba kwa kufanya hivo mnaweza ua mwenako?
 
Mkuu Aspirin,acha kuumiza kichwa chako.Hao kina Lizzy,mama wa Kirusi, Asha,Sara et al wala wasikubabaishe.Ukweli wanaujua sana ila wanajibaraguza tu,maneno kibaaooo hamna lolote.Kila siku nawauliza hivi:'je humu mmu hakuna mwanamke ambaye ni hawara wa mtu?' hawajibu kwa kuwa jibu wanalijua.Binadamu haishi kwa mkate pekeyake.Na mi nshawambia katika hili wakitaka kushindana na sisi na wajaribu waone.
by the way Ashadii huyo mwenyekiti wa hilo lichama ni nani?
 
Sasa hao mabinti ambao hawajaolewa/ hawana wapenzi mnataka wahudumiwe na kina nani wakati mnajua fika kabisa kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume?

Darling Shem sasa huu ndo mzaha ambao hutufanya wanawake tuwe rattled... Mimi naamini kua wanaume hua wanatoka... naamini pia kua kuna watu ambao wakitoka ipo justifiable na naamini pia kuna walea ambao wakitoka haipo justifiable for hivi vitu sio tu "Black" and "White" kuna layers nyingi zikiwa zimeambatana na shades of grey.... Hivo basi unapotetea infidelity kwa kutoa sababu kama uliyotoa hapo juu... believe me you mimi kama mwanamke ni lazima niwe na HASIRA... Lazima Shem utumie that sensitive side of yours I know ku-apply hii kitu.... Toa sababu za msingi ni kwanini hii kitu inatokea BUT justfying it kwa kusema wanawake ni Wengi inakua kama mnatukosea HESHIMA wake zenu na kua Mnaongea ili kutukomoa kwa kujua wazi kua hatuna la kufanya....

Kumbuka pia shem kua kuna wanaume washamba... Wanaume ambao anaanza kutafuta nyumba ndogo sababu tu kaona Sredi ya Boss, Sweetie Kaizer, Teamo or Maoni ya ODM nae huyo mbio mbio akiona mwanamke yeyote siku hio anatongoza ili tu kujiona fahari na kujiona ni mmoja wenu!! Na hilo hasa ndilo limemfanya Roullette arushe huu uzi... Na hilo ndilo linatutia hasira sie akina mama... Kwamba you are promoting and as much as it is inevitable there is NO need of that!
 
wakati nasoma mada hii kuna jamaa yangu tuko nae huku tunabeba box....nimemwambia juu ya hii habari ya nyumba ndogo..amenijibu hivi.....'' edson ..kuna kitu watu hawakielewi, nyumba ndogo ni kitu amabacho hakiepukiki ni saw na kula chakula..najua wewe hapo ulipo edson kuna ain ya ya chakula ambacho kwa ndo chakula kikuu...lakini si kweli kwamba hwa unakula hicho tuu kila kisu..kuna siku unabadilisha na unajaribu kuonja radha ya vyakula vingine....hii ni swa na kuwa na mke...ukishaoa na kukaa nae ndani kwa mdan mara gafla utajisema ...ahaa kumbe ni wa kawaida hivi then baada ya hpo utaona matole mengine barabarani na utapenda kuyajaribu na kuonja radha na hapo ndipo nyumba ndogo inaingia.....kwa kifupi kaka eddy ni hivi binadamu huwa hatosheki hata hao kina mama siku hizi na wao wengi wao wana nyumba ndogo wao wanaita windows 7''
tatizo mmecremisha maisha, mkiweza kuelewa bila kucremu hamtakuwa na mtazamo huo
 
Back
Top Bottom