Jiangalie,jichunguze,ni wakati wako sasa jirudi.

Okay...good luck...mimi naendeleza libeneke...kumega AKA mtindo mmoja...
nakusoma sana na siwezi kusema unakosea.....hapana kuna muda utahitaji kujirudi tu....uanjua suala la Lyumba ni tete sana.....ushanisoma? rafiki yangu mmoja kaamua kutundika nae daruga alimega shori mmoja ambae ana pacha wake wanafanana sana....kumbe mmoja alikuwa na waya....mara akaagua sana akafa jamaa alichanganyikiwa maana hakujua ni yupi hasa alilala nae....bahati mungu yuko nae....kaamua kuacha hayo mambo ya kumega.....

......ile list ya lyumba ni tete sana nilikuwa nabisha sana kama jamaa ana ngoma lakini aisee ni kweli na kuna wakati nikionganisha chain naona kama vile inanikaribia naacha kuonganisha......ni wakati wa kutulia sasa....kumega sio sifa wakati huu....
 
Bwana kama ukihesabu maovu yetu, je ni nani atasimama?
Safi sana mkuu Yo Yo!

Watu kama hawa iwa wanamkumbuka Mungu wakishafulia ndo wanaona umuhimu wa Mungu haya mkuu unajuuta sasa kwa kujixpress duh pole sana mpwa.
 
Niliwahi kusema siku za mwisho neno la Mungu hata viziwi watalisikia-litakuwa limehubiriwa kila kona....NYANI NGABU nauhakika anatoa challenge tu the way I see his writtings deep in his heart ni mtu wa kumjua Mungu.

Deep down in my heart I'm a great guy.I have questions about God so I'm conflcted when it comes to believe or not to believe. I try to follow the Ten Commandments and live my life accordingly the best I can for I think they are universal life principles.

Ndio maana nasema, kama kuna watu wanaochukulia kila kitu hapa foramuni kuwa ndio kama neno la Mungu...hao ni wajinga wa mwisho kabisa. Usikute watu kama hao wanadhani kweli Nyani Ngabu ni jina langu....kwikwikwiii
 
Ha!ha!ha! kamanda Masa yuko mitaa gani....mnakaribishwa kwa neno zito hapa mkuu!

hahaha mkuu anaona soo maneno ya Mungu yatampunguzia khali ya kuelekea week end lakini atakuja tu anaset kiburudisho cha kukamua week end.
 
Mbarikiwa YoYO,
Wherever you were - vacation, retreat...ni Mipango ya Mungu maana kama Saul on his way to Damascus nawe umeona mwanga!Kama Saul aliyebadilika kutoka mtesi hadi mtumishi mkuu wa Mungu, nawe pia badilika kutoka YoYo ..sijui utaitwa nani... endelea kuhubiri kwa bidii.Asieyesikia shauri lake wala usihangaike naye.Wewe songa mbele tu.
Ubarikiwe sana!
Dada pleaaasee chondechondeeeee........ subiri kwanza tujue his motives jamaniii though i trust your judgement dada
 
nakusoma sana na siwezi kusema unakosea.....hapana kuna muda utahitaji kujirudi tu....uanjua suala la Lyumba ni tete sana.....ushanisoma? rafiki yangu mmoja kaamua kutundika nae daruga alimega shori mmoja ambae ana pacha wake wanafanana sana....kumbe mmoja alikuwa na waya....mara akaagua sana akafa jamaa alichanganyikiwa maana hakujua ni yupi hasa alilala nae....bahati mungu yuko nae....kaamua kuacha hayo mambo ya kumega.....

......ile list ya lyumba ni tete sana nilikuwa nabisha sana kama jamaa ana ngoma lakini aisee ni kweli na kuna wakati nikionganisha chain naona kama vile inanikaribia naacha kuonganisha......ni wakati wa kutulia sasa....kumega sio sifa wakati huu....

Well...uzuri mimi circles zangu sio kama za Lyumba.....shori yeyote aliyemegwa na Lyumba siyo shori makini....ni shori mdhaifu
 
Hawana turning point hao....mwizi ni mwizi tu. Kama umeiba rudisha ulichoiba na unapaswa kuadhibiwa. Eti turning point....wameanza kuiba zamani mno....so when is that turning point going to happen....bullshit if you ask me.

NN,

Spiritually I believe kila mwanadamu aliye(anaye) tenda maovu an turning point tu.....turning point to me ni pale anapokuja kurealise kuwa dunia na vyote vilivyomo ni upuuzi mtupu.....na kumrudia muumba wake.....! We don't know nini huwa kinatokea dakika chache kabla mtu hajakata roho mkuu...., I believe muda ule tu unatosha kumrudia bwana kama hawakufanya hivyo siku za nyuma!

We NN hapa argument zako kisiasa, kiuchumii, kijamii (kidunia) zipo sahihi kabisa.....lakini kiroho no sikubaliani na wewe!
 
WOS nakumbuka Yo Yo alisema amekupenda na sasa amempokea Mungu kwa hiyo ana uhakika sasa wa kudumisha pendo lake kwako au sio?hahahaha amekuwa mtoto wa Mungu safi sana mpokee
 
Watu kama hawa iwa wanamkumbuka Mungu wakishafulia ndo wanaona umuhimu wa Mungu haya mkuu unajuuta sasa kwa kujixpress duh pole sana mpwa.

Ha!ha!ha!ha!....kaka F80 mi minyororo yangu ipo kny kilaji tu mkuu...shoris huwa simindish sana.....so hata nikifulia ta go back ....kule kunako Ulanzi, ugimbi etc! so sir God kama kunitandika basi tanitandika for that bro!
 
Hongera sana Yo yo, hakika umechagua fungu jema la kumrudia Mungu. Muhimu omba sana Mungu akupe hekima.
 
Fidel80
user_online.gif

Fidel80 Muosha huoshwa
JF Premium Member

amebaki huyu!
 
Mr. Yo Yo its very simple to be the Ist but its also very difficult to remain there...so keep updating your mind and heart always about wonders GOD has done in your life....
 
Last edited:
……dunia hii ina vishawishi vingi ambavyo vitakufanya uangamie kila pahala pamechafuka si kanisani msikitini au madhabahuni si mtoto au mkubwa si mjini au kijijini.......WanaJF hata hii vita ya ufisadi tusali sana huku tukirusha mawe hapa....?

Kwa kauli hii nachelea kuhisi kwamba mdogo wangu 'ulitishwa' na MKONO MREFU WA S.......I!Pengine ndo maana umeamua kumuhusisha mungu katika maisha yako,WHICH IS VERY GOOD!na ninakuhakikishia ukiwa na imani utafanikiwa tu

Kila mwanadamu hapa duniani ni sehemu ya kupita tu wasafiri tuna makazi yetu ya milele uko tusikokujua….. kitu ambacho nasema ni tukumbuke kumrudia mungu wetu popote pale tulipo…….

Nimechoka kuwa mdhambi na sasa lazima nimrudie muumbaji…..haina haja kuweka vifungu hapa na hii sio thread ya dini….je mko tayari kuacha dhambi?
Sasa hapa,kwa mapinduzi yako ya kifikra,na ka ugafla yaliyokuja nao,umenikumbusha somo la jiografia la 'KUPATWA' au 'ECLIPSE'.nakumbuka tulikuwa na solar-eclipse,lunar-eclipse na nyingine
HII YA KWAKO YoYo tutaiita 'YoYo-eclipse',bs'e it is unbelivable stuff

SUMMARY:vakesheni ya YoYo inapiga kelele kubwa sana vichwani mwa wana JF
 
WOS nakumbuka Yo Yo alisema amekupenda na sasa amempokea Mungu kwa hiyo ana uhakika sasa wa kudumisha pendo lake kwako au sio?hahahaha amekuwa mtoto wa Mungu safi sana mpokee

Jamani msilete utani kwenye maswala muhimu.Wapi Yo Yo ALIWAHI SEMA HIVYO? leteni ushahidi.
Mwacheni jamani atafute amani ya moyo na awe mtu bora katika jamii.Msimkatishe tamaa kwa maneno ya utani kama haya.
 
WomenofSubstanc
user_online.gif

WomenofSubstanc has no status.
JF Premium Member

It is a good pic dada!prblm nikwamba haiko clear sana,nadhani ni background,au scanning setting!if you dn't mind jst do smthing to have the situation 'rectified'
 
Jamani msilete utani kwenye maswala muhimu.Wapi Yo Yo ALIWAHI SEMA HIVYO? leteni ushahidi.
Mwacheni jamani atafute amani ya moyo na awe mtu bora katika jamii.Msimkatishe tamaa kwa maneno ya utani kama haya.
dada heshima mbele .... lakini umeiona status ya Yo Yo au he is inlove with you katika bwana?
 
mkuu nimeanza na mimi mwenyewe kujirudi kwanza siwezi kumwambia Mkapa na wenzake wajirudi huku na mie mchafu wa kutupwa...

Lazima nikiri kwanza mimi nafsi yangu....hata hapa JF nimewakosea wengi najua watanisamehe.....sio kwamba sijui nimeokoka yaani kuwa kama wale wanaosali kwa yowe..hapana ila nimeokoka moyoni nimejirudi nataka niwe mtu katika watu.....sitaki niwe impact mbaya kwa jamii yangu.....nataka niwe mfano bora kwa wadogo zangu na kwa jamii nzima.....

.....kuan wakati nalijiuliza wakati nimelala kuwa siku hiyo nzima hakuna jema nililotenda nikajiona mnyonge sana....

kwi kwi kama kweli wee YOYO NI EF ninayekufahamu definitely something is changing!! au niseme mhhh what are you upto this time? haa au ndio goal to be married by 2010??
 
Back
Top Bottom