Jiangalie,jichunguze,ni wakati wako sasa jirudi.

......kumega AKA kuzini mungu hapendi sitaki niingie ndani kwenye mafundisho maana italeta mtafaruku.....ila hakuna jamii ambayo utaenda utaambiwa uzinifu ni sifa!
mimi ni kijana under 35 ipo siku nitaulizwa je nguvu zako za ujana ulifanya nini? nitajibu nini nikikumbuka ujana nimeutumia kwenye maasi......

Ha!ha!ha!...wapi Masa, wapi Fidel.....bwana ametamalaki, nchi na ishangilie, visiwe na vifurahi!

Yule aliye mfufua Lazaro leo yupo hapa, yule aliye waponya wakoma leo yupo hapa, yule aliye waongoza waizrael kwenda kny nchi ya ahadi leo yupo hapa!

Bwana kama ukihesabu maovu yetu, je ni nani atasimama?

Safi sana mkuu Yo Yo!
 
Ingekuwa bora zaidi ukienda kuwahubiria mafisadi wasio na huruma na utu...wanaoiba mahela huku raia wenzao wakilala chini kwenye masakafu huku wanaumwa wakati wao wakilala kwenye ma sleep number bed.

Kawahubirie kina Mkapa walio wanafiki kwa kujifanya wacha Mungu huku wakiwa wameiba mamilioni ya hela za walipa kodi waishio kwa mlo mmoja kwa siku.

Usijihangaishe na maghost wa kwenye mtandao ambao huwajui. Ka deal na wakiukaji wa haki za binadamu mafisadi wa CCM.

Mijitu inaiba mali za wananchi halafu inajifanya mijitu ya dini micha Mungu. No no Yo Yo....don't misplace your priorities.
nakusoma sana brother.....kila mtu limamgusa iwe Mkapa au kikwete,lowasa au mwanakijiji ujumbe wangu uwafikie silengi jamii moja tu.....
unajua watu kama hawa mafisadi wakijichunguza na kujiuliza maswali niliyojiuliza mimi lazima wataakuja an conclusion ya kujirudi......

.....mkuu najua behind NN ni mtu mmoja makini sana ambae anaelewa ninalolisema....kuna watu nimekutana nao humu duniani siwajui hawanijui lakini maneno yao nimekuja kuyakumbuka baada ya kuanza kujiuliza....

angalia historia yako alafu jiulize miaka ijayo utakuwa wapi....angalia jamii yako na inayokuzunguka jipime na wewe.....

NN kitu kingine aiseee unajua mashori ni watu makini sana.....nimekuja kugundua na wana mawazo makubwa zaidi ya guys.....
 
NN kitu kingine aiseee unajua mashori ni watu makini sana.....nimekuja kugundua na wana mawazo makubwa zaidi ya guys.....

Sio wote! Inategemea na mtu na mtu. Kuna wengine kweli wana mawazo makubwa. Kuna wengine mawazo yao yanaishia kwenye umbea umbea tu. Hujawahi kukutana na shori ambaye huwezi kuongea naye let's say mambo investments, kununua shares, n.k....ukianza kuongelea mambo hayo mwenzako anakuona mshamba...John kisomo flani....lakini anza kuongelea mambo ya facebook na nani kaweka picha za party flani..uone atakavyoshusha stori....

Umakini hauna ujumla....inategemea na mtu na mtu
 
Tatizo la binadamu anamkumbuka Mwenyezi Mungu akiwa "amefulia tu", akiwa na mambo mazuri kiimyaa sana sana kashfa hata kwa watu wa mungu huwa tele!
Lakini ngoja achoke kimaisha...utasikia.;

"Ni nyakati za mwishoooooooou tubuni, tubuni zambi zenu, bwana anakuona hadi ndani mtimani!!

Waapi bwana, mwisho wa dunia kwasababu we umeishiwa!!!?? upigike ndiyo umkumbuke Mola wako! Tunatakiwa kumtii Mwenyezi kila wakati, tukichoka au tukiwa nazo.
 
All I know sijawahi kumuibia mtu. Sijaua mtu. Sijawahi kumdhulumu mtu. Na kama dhambi zina viwango basi viongozi wa taifa letu watakuwa kwenye mstari wa mbele kuelekea motoni na Nyani atakuwa wa karibu na mwisho.

Hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama kuwatendea binadamu wenzako vibaya na kuwa mnafiki kwa wakati huo huo e.g. Mkapa, Sumaye, Chenge etc. etc.

NN,

Umeonywa uache ubishi husikii.

Katika mambo ya kiroho usiangalie nani anafanya nini, wapi, namna gani na kwa nini. Angalia zaidi wewe unapaswa kufanya nini na unafanya nini.

Duniani mkuu ulikuja pekee yako tena bila kitu, hukuja na Mkapa,Chenge, wala RA et al...wala hukuja na dhahabu, fedha, mbuga za wanyama etc....!

Simply ulikuja peke yako...na utaondoka peke yako! Na huko utakakopotelea utahukumiwa peke yako, hakutakuwa na shahidi Yo Yo, au NL, au Mkapa au Chenge.....you will stand alone mkuu!

Cheers
 
Hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama kuwatendea binadamu wenzako vibaya na kuwa mnafiki kwa wakati huo huo e.g. Mkapa, Sumaye, Chenge etc. etc.

So take your preaching to them. Kawaambie waache kuiba hela za kununulia madawa hospitalini. Waambie warudishe hela zote walizoiba ili ziweze kutumika ktk kununulia madawati ya kukalia watoto wa shule za msingi, waambie warudishe hela ili ziweze kutumika kununulia vitanda mahospitalini. Waambie waache kuishi maisha ya kifahari huku wakiwa wamezungukwa na ufukara unaowasuta dhamira zao. Deal with them first....
mkuu nimeanza na mimi mwenyewe kujirudi kwanza siwezi kumwambia Mkapa na wenzake wajirudi huku na mie mchafu wa kutupwa...

Lazima nikiri kwanza mimi nafsi yangu....hata hapa JF nimewakosea wengi najua watanisamehe.....sio kwamba sijui nimeokoka yaani kuwa kama wale wanaosali kwa yowe..hapana ila nimeokoka moyoni nimejirudi nataka niwe mtu katika watu.....sitaki niwe impact mbaya kwa jamii yangu.....nataka niwe mfano bora kwa wadogo zangu na kwa jamii nzima.....

.....kuan wakati nalijiuliza wakati nimelala kuwa siku hiyo nzima hakuna jema nililotenda nikajiona mnyonge sana....
 
Wakuu tukiwa kwenye mihangaiko yetu tusisahau kumtukuza Mungu hata tukiwa tumesongwa na matatizo...umeshawahi kujiuliza kwanini hufanikiwi, huna bahati na vitu kama hivyo

……dunia hii ina vishawishi vingi ambavyo vitakufanya uangamie kila pahala pamechafuka si kanisani msikitini au madhabahuni si mtoto au mkubwa si mjini au kijijini.......WanaJF hata hii vita ya ufisadi tusali sana huku tukirusha mawe hapa....
Kila mwanadamu hapa duniani ni sehemu ya kupita tu wasafiri tuna makazi yetu ya milele uko tusikokujua….. kitu ambacho nasema ni tukumbuke kumrudia mungu wetu popote pale tulipo……. Nimechoka kuwa mdhambi na sasa lazima nimrudie muumbaji…..haina haja kuweka vifungu hapa na hii sio thread ya dini….je mko tayari kuacha dhambi?
eweeee kondoo uliyerudi kundini Yo Yo karibu sana, sijawahi kuona any kind of sense kwenye comments zako zilizopita ila leo umeongea kitu cha maana sana
but please mkuuu nna kadoubt kadogooo nisaidie kukakatua maana hiyo status yako ndiyo inayoleta hiyo doubt etii YOU ARE INLOVE WITH WoS mhhhh badala ya you love them shoriz? isije ikawa ndio gear yako ya kumtokea dada yetu WoS aone umerudi kundini kumbe geresha tu........... please clear ma doubts mkuuu coz nataka nikusurport aslimia mia moja kama kule bungeni
 
NN,

Umeonywa uache ubishi husikii.

Katika mambo ya kiroho usiangalie nani anafanya nini, wapi, namna gani na kwa nini. Angalia zaidi wewe unapaswa kufanya nini na unafanya nini.

Duniani mkuu ulikuja pekee yako tena bila kitu, hukuja na Mkapa,Chenge, wala RA et al...wala hukuja na dhahabu, fedha, mbuga za wanyama etc....!

Duniani nilikuja peke yangu. Kweli. Je, nina wajibu (moral obligation) wa kukemea na kuongea dhidi ya maovu wafanyayo watu wengine dhidi ya watu wengine, you bet. Kama kukemea maovu dhidi ya binadamu ni dhambi then so be it na acha niende motoni kama kweli hiyo sehemu ipo.

Ni ukosefu wa busara ku imply kuwa tuache kukemea maovu wanayofanya wengine kwa wengine eti kwa vile tu tulikuja peke yetu hapa duniani. LOL @ Next Level's logic!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mkuu nimeanza na mimi mwenyewe kujirudi kwanza siwezi kumwambia Mkapa na wenzake wajirudi huku na mie mchafu wa kutupwa...

Lazima nikiri kwanza mimi nafsi yangu....hata hapa JF nimewakosea wengi najua watanisamehe.....sio kwamba sijui nimeokoka yaani kuwa kama wale wanaosali kwa yowe..hapana ila nimeokoka moyoni nimejirudi nataka niwe mtu katika watu.....sitaki niwe impact mbaya kwa jamii yangu.....nataka niwe mfano bora kwa wadogo zangu na kwa jamii nzima.....

.....kuan wakati nalijiuliza wakati nimelala kuwa siku hiyo nzima hakuna jema nililotenda nikajiona mnyonge sana....

Vipi hii? "Yo Yo is in love with WoS" Akiwa mke wa mtu je?
 
nakusoma sana brother.....kila mtu limamgusa iwe Mkapa au kikwete,lowasa au mwanakijiji ujumbe wangu uwafikie silengi jamii moja tu.....
unajua watu kama hawa mafisadi wakijichunguza na kujiuliza maswali niliyojiuliza mimi lazima wataakuja an conclusion ya kujirudi......

.....mkuu najua behind NN ni mtu mmoja makini sana ambae anaelewa ninalolisema....kuna watu nimekutana nao humu duniani siwajui hawanijui lakini maneno yao nimekuja kuyakumbuka baada ya kuanza kujiuliza....

angalia historia yako alafu jiulize miaka ijayo utakuwa wapi....angalia jamii yako na inayokuzunguka jipime na wewe.....

NN kitu kingine aiseee unajua mashori ni watu makini sana.....nimekuja kugundua na wana mawazo makubwa zaidi ya guys.....

Duh wakuu, huyu ni Yo Yo Original au jamaa wameinyaka password yake? Manake hizi nyanga anazo kata hapa mkuu can't believe my machos!
 
Tatizo la binadamu anamkumbuka Mwenyezi Mungu akiwa "amefulia tu",
Hujakosea mkuu mpaka naandika hivi ni kweli hali yangu ni tete hasa kimaadili na si vinginevyo tena sasa nakumbuka nikiwa alosto ndio naharibu sana.....
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=8mJJu0CXK54"]YouTube - Heshima Ya Dhahabu-Bahati Bukuku[/ame]

Msikilize bahati bukuku....
Sio wote! Inategemea na mtu na mtu. Kuna wengine kweli wana mawazo makubwa. Kuna wengine mawazo yao yanaishia kwenye umbea umbea tu. Hujawahi kukutana na shori ambaye huwezi kuongea naye let's say mambo investments, kununua shares, n.k....ukianza kuongelea mambo hayo mwenzako anakuona mshamba...John kisomo flani....lakini anza kuongelea mambo ya facebook na nani kaweka picha za party flani..uone atakavyoshusha stori....

Umakini hauna ujumla....inategemea na mtu na mtu
Nikijiongelea mwenyewe aise mashori woote ninaokutana nao ni wasomi na wenye uwezo mkubwa wa kupambanua mambo…….ila mie ndio nakuambia nilikuwa nawaona hawawezi kushauri kitu……nimepata bahati lazima niseme sijapata shori type unayoyesemea……wamekuwa wakinipa ushauri mzuri sana ambao mimi sikuona kama ni mzuri…..
 
Duniani nilikuja peke yangu. Kweli. Je, nina wajibu (moral obligation) wa kukemea na kuongea dhidi ya maovu wafanyayo watu wengine dhidi ya watu wengine, you bet. Kama kukemea maovu dhidi ya binadamu ni dhambi then so be it na acha niende motoni kama kweli hiyo sehemu ipo.

Ni ukosefu wa busara ku imply kuwa tuache kukemea maovu wanayofanya wengine kwa wengine eti kwa vile tu tulikuja peke yetu hapa duniani. LOL @ Next Level's logic!!!!!!!!!!!!!!!!!

NN,

Huja nielewa kabisa mkuu. Pale mwanzoni kabisa nimesema hivi.....''Katika mambo ya kiroho''...upo hapo? Nimeona wewe unajilinganisha na akina Chenge, Mkapa.....nakusema wewe hutendi maovu...ie. huibi, hujadhulumu etc.....sasa Mungu haangalii kihivyo mkuu.....huwezi jua hao unaowaona wanatenda dhambi turning point yao utakuwa lini....na watamrudia Mungu lini mkuu!

Suala la kukemea maovu, ni suala la kitume mkuu so kemea sana maovu na utapata thawabu kwa Mungu!
 
Nikijiongelea mwenyewe aise mashori woote ninaokutana nao ni wasomi na wenye uwezo mkubwa wa kupambanua mambo…….ila mie ndio nakuambia nilikuwa nawaona hawawezi kushauri kitu……nimepata bahati lazima niseme sijapata shori type unayoyesemea……wamekuwa wakinipa ushauri mzuri sana ambao mimi sikuona kama ni mzuri…..

Okay...good luck...mimi naendeleza libeneke...kumega AKA mtindo mmoja...

And for anybody that takes everything in here so literally...you are dumb like a rock!! Mtandao tu huu...
 
Vipi hii? "Yo Yo is in love with WoS" Akiwa mke wa mtu je?
but please mkuuu nna kadoubt kadogooo nisaidie kukakatua maana hiyo status yako ndiyo inayoleta hiyo doubt etii YOU ARE INLOVE WITH WoS mhhhh badala ya you love them shoriz? isije ikawa ndio gear yako ya kumtokea dada yetu WoS aone umerudi kundini kumbe geresha tu........... please clear ma doubts mkuuu coz nataka nikusurport aslimia mia moja kama kule bungeni
nashukuruni sana wakuu......
Kitu ambacho kinaniuma sana roho ni dhambi ya kutotimiza wajibu.....najiona mnyonge sana....nina uwezo wa kutimiza wajibu katika jamii lakini nimekuwa so selfish naangalia kivyangu vyangu.....
 
NN,

Huja nielewa kabisa mkuu. Pale mwanzoni kabisa nimesema hivi.....''Katika mambo ya kiroho''...upo hapo? Nimeona wewe unajilinganisha na akina Chenge, Mkapa.....nakusema wewe hutendi maovu...ie. huibi, hujadhulumu etc.....sasa Mungu haangalii kihivyo mkuu.....huwezi jua hao unaowaona wanatenda dhambi turning point yao utakuwa lini....na watamrudia Mungu lini mkuu!!

Hawana turning point hao....mwizi ni mwizi tu. Kama umeiba rudisha ulichoiba na unapaswa kuadhibiwa. Eti turning point....wameanza kuiba zamani mno....so when is that turning point going to happen....bullshit if you ask me.
 
Niliwahi kusema siku za mwisho neno la Mungu hata viziwi watalisikia-litakuwa limehubiriwa kila kona....NYANI NGABU nauhakika anatoa challenge tu the way I see his writtings deep in his heart ni mtu wa kumjua Mungu.
 
Back
Top Bottom