Jiandae mambo kabla ya kungonoka

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza!

Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.

Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea.

Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo!

Hatua ya kwanza ni kusameheana:
Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!

Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti zenu.

Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:
Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe!
Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja alidhike na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima watumiye muda wakutosha katika michozo yakimahaba!

Hata hivyo kila mmoja wenu anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili wa mwanaume ni rahisi kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama kiini cha muhemko na msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo endapo mwanamke yoyote atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo basi mambo huwa safi kwa upande wa mwanaume.

Mwili wa mwanamke una shughuli pevu kubaini sehemu zenye ambazo huamsha hisia za mapenzi na ndiyo maana wanaume wengi hushindwa kuwafikisha mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini cha hisia za mapenzi kwa mwanamke ziko kwenye kipegere G (namaanisha critoris wadu, haya ni mambo ya infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya uke ambapo wataalamu hudai kuwa kipo sentimita 4 kutioka ukeni.

Wanaume wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani potofu kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za wenza wao kutaka kuanzisha safari jambo ambalo si kweli, kwani wanawake wengi hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba kucha zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata fangasi!

Hivyo basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin dhana hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka mwenza wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje!

MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-
Sehemu ya juu:

Wanaume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke na kuacha
 
MziziMkavu hio ya KUSAMEHEANA nimeipenda sana ila hivyo vikorombwezo vingine vinaweza kusababisha usiambulie chochote maana anaweza kuja mtoto kukuamsheni au aje mgeni (binafsi huwa naupenda sana huu mchezo mchana) labda kwa kuongeza ni kwamba hakikisha pia MIND yako ipo eneo la tukio plus kumbuka kuzima SIMU kama vile uko mkutanoni
 
Last edited by a moderator:
Mzizimkavu habari za asbh! asante kwa somo zuri, naona umepania kufanya wanaJF wainjoi wanapokuwa kwenye majambozi na wenza wao. Somo zuri kwa wanaume ili kuwafikisha wenzao kileleni. Big up !
 
Mzizimkavu habari za asbh! asante kwa somo zuri, naona umepania kufanya wanaJF wainjoi wanapokuwa kwenye majambozi na wenza wao. Somo zuri kwa wanaume ili kuwafikisha wenzao kileleni. Big up !
Asante bibie mzuri ram Mungu akubariki ameen........
 
Last edited by a moderator:
mkuu snowhite endelea wewe na kazi hii nimewaekea kiporo watakapomaliza kazi waje kuizungumzia hapo jioni usijali mkuu wangu..............
MziziMkavu sasa nimerudi!nimeshamaliza kujenga taifa now we cana talk bussiness!AH LIWALO NA LIWE bana!mwalimu gfsonwin hapana kimbia wewe hebu shusha nondo bana sijapata msemo mpya siku nyingi mie!
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu sasa nimerudi!nimeshamaliza kujenga taifa now we cana talk bussiness!AH LIWALO NA LIWE bana!mwalimu gfsonwin hapana kimbia wewe hebu shusha nondo bana sijapata msemo mpya siku nyingi mie!

shostito mmh! unataka niache kazi niende kurushwa mida hii???
but kiukweli kufanya tendo la ndoa kwahitaj nafasi. Nafasi niisemayo mm sio ya muda wa kuwepo kitandani hapana bali ya muda wa kuekana sawa kiakili. mambo yawezayo kumweka sawa kiakili mwenzani hkama haya
- unasamehe iwapo kuna kosa lolote juu yake
-unaflirt na mwenza wako to kiasi cha kumfanya atamani kukutana na wewe, na hapa vi out vya jion bada ya kazi vinahusu ili upate muda wa kutupiemo vijimaneno vya kimahaba.
-msosi mzuri wa kuwafanya muwe na furaha wakati wa menu na kula kimahaba kati yenu ili pia mpate nguvu.
-mpate muda wa kufanyiana usafi hasa wa kimwili, hapa mtaogeshana mtapaka mafuta mtakatana kucha nk ili tu hisia za kimahaba.
mkimaliza mpandapo kitandan pateni muda chezeaneni kwanza semeshaneni hadi kila mmoja alowe kabisaaaa ndipo sasa muanze kupeana mifyonzo na mavibration.

kwa kitanda utundu kutoka kote kote nahusu sana tu, hapatakiwi kuwepo na mtegezi na uzuri wa kujituma kwa ke utamfanya afike kilelen mara nyingi sana.
tena tumebarikiwa zaid wanawake kwani tunaweza kkojoa mfululizo mara nyingi zaid pasi kuchoka na huwa tuaskia utamu zaid kuliko wanaume manake orgasm kwetu inakwendaga na kusisimua mwili wote na hivyo kuchelewa kuisha ukilinganisha na mwanaume ambaye huwa anakojoa ila kwasababu ya uchovu anashindwa kuendelea kwa kuunganisha.
 
hapoh!hapoh!mi ndo napokupendea shostilo!
haya mi huwa nayaitwa andalio la somo
yani shurti game la usiku wa kesho laandaliwa asubuhi ya leo kitu kinapangwa kuanzia menu,maneno,sauti,lugha,mashuka,harufu, n.k
 
MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-
Sehemu ya juu:

Wanaume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke na kuacha

Hii nalo neno.
 
Teacherrrrrrr lol! naona umeyamwaga mambo ya kule Tanga...Tanga kunani!!!!

Representin

The way you put it down in between the sheets
Is like no other girl
You done take it a whole another level of freakiness
When you blow my mind
To the point where all these other women
Kinda feeling like it's old days, yeah
So I better go in, then I better come speed it
And I admit that I'm feeling a little pressure
When you're telling me I better come get it
But I'm the man for the job
Can't nobody do it quite like I do
And the same go for you
We a match made in heaven
I'ma stand right by you
Why you saying?

Just wanna keep all your attention baby
Yeah, alright, alright, alright, hey
It turns me on to know I turn you on, yeah
Ok, ok, ok
And I love the way I drive you crazy
Yeah, alright, alright, alright, hey
Sit in the front row and watch me perform
You do that and you gonna learn …
Get on that thang, represent
I'll be representing, representing
Watch me put it down

Put it down like ay,
Only know you can do it
Then I'ma hit everything I wanna gets…
You don't need to walk me through it
But you can talk me through
What I'm asking if it's mine
Cause I don't really wanna play
You just tryina see if you can break my heart
Your spine, I'm
So attracted, to the way you carry yourself
And keep your composures
You a lady in the street
But behind closed doors you're a …soldier
But probably we'll never know
That's how you like it ha,
Bet that booty pack a mean punch
And I'ma spike it, huh

Just wanna keep all your attention baby
Yeah, alright, alright, alright, hey
It turns me on to know I turn you on, yeah
Ok, ok, ok
And I love the way I drive you crazy
Yeah, alright, alright, alright, hey
Sit in the front row and watch me perform
You do that and you gonna learn …
Get on that thang, represent
I'll be representing, representing
Watch me put it down

You're incredible, edible, unforgettable
Body is so angelical, the rebel with a cause
Speaking in hypotheticals
Could I marry you if I wanted to
I'll take you how you coming
Just learn to live with your flaws
Even though it's not that …
You give me that good…
And I walk around all day granted
My body and mind are gone
That day … return to sunshine
You make me wanna call the crib
And say I'm never coming home, luda!

Just wanna keep all your attention baby
Yeah, alright, alright, alright, hey
It turns me on to know I turn you on, yeah
Ok, ok, ok
And I love the way I drive you crazy
Yeah, alright, alright, alright, hey
Sit in the front row and watch me perform
You do that and you gonna learn …
Get on that thang, represent
I'll be representing, representing
Watch me put it down.

shostito mmh! unataka niache kazi niende kurushwa mida hii???
but kiukweli kufanya tendo la ndoa kwahitaj nafasi. Nafasi niisemayo mm sio ya muda wa kuwepo kitandani hapana bali ya muda wa kuekana sawa kiakili. mambo yawezayo kumweka sawa kiakili mwenzani hkama haya
- unasamehe iwapo kuna kosa lolote juu yake
-unaflirt na mwenza wako to kiasi cha kumfanya atamani kukutana na wewe, na hapa vi out vya jion bada ya kazi vinahusu ili upate muda wa kutupiemo vijimaneno vya kimahaba.
-msosi mzuri wa kuwafanya muwe na furaha wakati wa menu na kula kimahaba kati yenu ili pia mpate nguvu.
-mpate muda wa kufanyiana usafi hasa wa kimwili, hapa mtaogeshana mtapaka mafuta mtakatana kucha nk ili tu hisia za kimahaba.
mkimaliza mpandapo kitandan pateni muda chezeaneni kwanza semeshaneni hadi kila mmoja alowe kabisaaaa ndipo sasa muanze kupeana mifyonzo na mavibration.

kwa kitanda utundu kutoka kote kote inahusu sana tu, hapatakiwi kuwepo na mtegezi na uzuri wa kujituma kwa ke utamfanya afike kilelen mara nyingi sana.
tena tumebarikiwa zaid wanawake kwani tunaweza kukojoa mfululizo mara nyingi zaidi pasi kuchoka na huwa tunaskia utamu zaid kuliko wanaume manake orgasm kwetu inakwendaga na kusisimua mwili wote na hivyo kuchelewa kuisha ukilinganisha na mwanaume ambaye huwa anakojoa ila kwasababu ya uchovu anashindwa kuendelea kwa kuunganisha
.
 
Last edited by a moderator:
What a post and song for a saturday morning! Ngoja nifanyie kazi. Siku njema na mlalao usiku mwema.
 
MziziMkavu nimeipenda hii topic, ila issue ya vidole nafikiri huwa inawasisimuwa sana...hadi wanapiga bao! maujuzi uliyotupa nitayatumia ipasavyo!
 
Back
Top Bottom