Jf_shoe shiner.....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Nimefungua kijiwe jamani cha....
>kung'arisha viatu.
>kushona viatu.
>kushöna Ndara,
>kushona viatu vya kike na kiume,
>Natoa ushauri jinsi ya kununua kiatu kizuri cha mkeo.
>Pia napima viuno vya wamama,hips,paja kwa Tsh 500.
Karibuni sana......punguzo kwa wanajf..
 
Back
Top Bottom