Jf Yabinafusishwa.....

Dachr

Senior Member
Aug 25, 2011
110
8
Majira ya saa moja kikao kilianza rasmi mpaka sasa kinaendelea kwa muda usiojulikana.Mada kuu ni kuibinafisha jf kwa magamba ili Ipunguze kuanika ouvu wao.kwa wenye pingamizi nilazima uwe cv inayosupport mgomo wa madaktari naupinge toka moyoni kuhusu udhalilishaji wa Mkulu kuhusu madaktari.Nasubiri mshikamano Wenu kwenye majukwa yafatayo:Great thinker,jukwa la siasa,hoja mchanganyiko na nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom