JF Wheel Covers

Asee!
Orait!
Mashuka inawezekana?
Yani hata bed coverz, gesti hausi yangu ingependeza sana.
 
hi dear.....mambo.....kwenye huu mradi nipo kama mwanaJF mwenye nia njema sana na jukwaa letu hili kwa ujumla

Unapeleka mrabaha (mrahaba??!!) kwa kina Max? isije ikawa yale yale yakina Buzwagi ndani ya JF
 
bado hazijatengenezwa mpenzi.......ni kwambaaaaaa....jeee....mtazitaka?
Tengeneza mali lete mtaani, itapata wateja whatsoever!...Kwishney!..Saundi mingi za nini weye?.

Kama una saloon unampelekea hata bamkwe...kinachotakiwa ujumbe ufike! ...ni burudani tupu!
 
preta

pia unaeza uka design artistic mobile phone wallpapers/screen savers za jf ukaziuza via sms or mms

it is also a promotional tool
 
namna nzuri ya kujitangaza, angalia ni vp utanisaidia mm nibandike bango's za jf katika mabasi yangu ya mikoani. nataka nibandike nyuma kule, ntafuta zile za Arsenal for the nourishment of Jamiiforums.
 
namna nzuri ya kujitangaza, angalia ni vp utanisaidia mm nibandike bango's za jf katika mabasi yangu ya mikoani. nataka nibandike nyuma kule, ntafuta zile za Arsenal for the nourishment of Jamiiforums.

hili pia ni wazo jipya na jema mkuu......wacha liongezwe kwenye list......
 
Vipi nguo za ndani waweza kutengeneza nazo?
mi nahitaji chup*, labda nikutafute unipime saizi
 
Preta hapa hujafikiria vizuri. Bajaj tunatengeneza zile turubai zinazofunika jua na mvua. Kwa hiyo hata watu wa Bajaj wanawekwa pia kwenye mpango!
hapana bana....si unaona hata kwenye nguo imeanza t-shirt baadae zitafuata nguo nyingine......kwahiyo kwa hapa tujaribu kwanza na hizo wheel cover......ikiwezekana na huwezi jua ya Mungu mengi inaweza kufikia kukatoka gari aina ya JF.....he he he
 
Back
Top Bottom