Jf: Wasichana wa songea

Kwani hakuuzwi mablanket huko?

Mwenzio anataka mablanketi-watu, hujamuuelewa tuu?
Kwa lugha rahisi haitaji kumpenda mtu, anahitaji kampani tu ya kulala usiku na pia hajaweka vigezo vyovyote vya status ya afya, sura, umbile, rangi wala dini!!! Kama na wewe uko huko msaidie nduguyo! :israel:
 
Ina maana hiyo ofisi unayofanya kazi haina Wadada ? Uoga mwingine aka Midomo zege utakufikisha pabaya, kwa tabia hii ya kuwinda kila Mnyama utakuwa kama Mzee Fisa. Uko tayari kula hata mizoga waliacha wenzako !!! Kuwa kama Chui ambaye hali asichokiua mwenyewe !!!!
 
Yaleyale ya kuhimizana kumuasi muumba, koma kabisa.
Oa ule halali yako, hilo ndo suluhisho pekee
 
Mwenzio anataka mablanketi-watu, hujamuuelewa tuu?
Kwa lugha rahisi haitaji kumpenda mtu, anahitaji kampani tu ya kulala usiku na pia hajaweka vigezo vyovyote vya status ya afya, sura, umbile, rangi wala dini!!! Kama na wewe uko huko msaidie nduguyo! :israel:

Mkuu umepatia sana.....mie nataka manjonjo ya warembo wa songea na kula bata to front.....hii baridi bana mwaka huu mhmhmh it is too much wajameni...!
 
Wapendwa Dadas' & Bintis' wa Songea,

Mwenzenu nimehamia kikazi hapa songea yapata miezi mi-tatu hivi lakini dah kuna baridi sio mchezo...so naomba kama kuna mwanamke yupo single au bored na msela wake basi tuwasiliane nami ili tupeane kampani na hii baridi wajameni....nakaribisha PM za kutosha tu.

NB: Usikusipati usingizi jamani...lol.....so plse come and feel @ home!
pole sana songea kwa sasa changudoas bameds na wakusoma wote ni adimu ksb soko lao liko juu mno makampuni ya barabara, synhdro, sogeasatom, progressive, ile ya makaa tancoal, uranium, imefanya bei ya hiyo kitu kuwa juu, hadi wake za watu wanajuta kuolewa. maana jama wanakula nyaps si mchezo ndoa zinavunjika kila siku dadaz wanafuata washelskwa wazungu wa sogea, kwa hiyo mzee itakuwa ngumu kidogo lkn usikate tamaa jaribu kupitapita maeneo ya equator night club jambolee unaweza ukaokota ila uwahiwahi mapema na usichague.
 
Asante kiongozi, nimekupata vema nitapitia leo leo maana mhmh
 
kaka umeoa?namaanisha huko ulikotoka hujaacha mkeo? potelea mbali umeacha au hujaacha, mimi ninachoona hapa ni ubinafsi uliokithiri, maana sasa kama utapata dada hapo halafu mwisho wa siku akapagawa na kukuhitaji labda uwe mumewe, itakuwaje wakati wewe unahitaji mtu wa kukupa majotro nite? ANGALIZO: muweke wazi huyo mrembo utakayempata ili asiwe na mipango mingine kwako zaidi ya kukupa majotro maana usije kuumiza moyo wa mtu huko bure....jiangalie sana mkuu hiki kijitabia chako mh!!!
Wapendwa Dadas' & Bintis' wa Songea,

Mwenzenu nimehamia kikazi hapa songea yapata miezi mi-tatu hivi lakini dah kuna baridi sio mchezo...so naomba kama kuna mwanamke yupo single au bored na msela wake basi tuwasiliane nami ili tupeane kampani na hii baridi wajameni....nakaribisha PM za kutosha tu.

NB: Usikusipati usingizi jamani...lol.....so plse come and feel @ home!
 
kaka umeoa?namaanisha huko ulikotoka hujaacha mkeo? potelea mbali umeacha au hujaacha, mimi ninachoona hapa ni ubinafsi uliokithiri, maana sasa kama utapata dada hapo halafu mwisho wa siku akapagawa na kukuhitaji labda uwe mumewe, itakuwaje wakati wewe unahitaji mtu wa kukupa majotro nite? ANGALIZO: muweke wazi huyo mrembo utakayempata ili asiwe na mipango mingine kwako zaidi ya kukupa majotro maana usije kuumiza moyo wa mtu huko bure....jiangalie sana mkuu hiki kijitabia chako mh!!!

Mimi nipo single til now lakini kuhusu suala la kuoa si unajua huwa linakuja automatically endapo mtu unaona kifaa kinalipa na manendana vema...so ishu sio ubinafsi ila ni kukubaliana na kuwa na malengo so kama nikiona mtu anajituma kwa 100% kwanini nisichukue jumla...? so uwanja upo wazi..mkuu!
 
sawa, sasa hata kupata huyo wa kuoa huwa inakuja automatically, so mkuu hapa jf utapata wadanganyifu wengi kukuzingua na labda wengina hata hawapo huko Songea...so muombe Mungu wako akujaalie kupata wa kutulia naye na sio kuishia kupeana majotro tu au unaonaje?
Mimi nipo single til now lakini kuhusu suala la kuoa si unajua huwa linakuja automatically endapo mtu unaona kifaa kinalipa na manendana vema...so ishu sio ubinafsi ila ni kukubaliana na kuwa na malengo so kama nikiona mtu anajituma kwa 100% kwanini nisichukue jumla...? so uwanja upo wazi..mkuu!
 
Ina maana hiyo ofisi unayofanya kazi haina Wadada ? Uoga mwingine aka Midomo zege utakufikisha pabaya, kwa tabia hii ya kuwinda kila Mnyama utakuwa kama Mzee Fisa. Uko tayari kula hata mizoga waliacha wenzako !!! Kuwa kama Chui ambaye hali asichokiua mwenyewe !!!!

fisi eeeh!
 
Back
Top Bottom