JF waliosoma IHUNGO tujikumbushe

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Aulizaye ataka kujua,

Hivi kuna wanaJF waliosoma Ihungo? Mie nilisoma mwanzono mwa miaka ya 1980. Nakumbuka yafuatayo:

1. Ile njia ya Japan inayotokea Kashai?
2. Ule Mti wa Balaa kama unaenda Kashozi?
3. Yale madishi ya ugali na maharage na mikiki unapokuwa server? Vipi kupiga kiatu?
4. Mabweni yetu: Uluguru, Knjaro, Ergon, Meru na Rwenzori?
5.
6.
7.
 
5. ST Thomas More College
6.
7.
good
 
Mastery for Service ndo ilikuwa Motto.

H/Master miaka fulani anaitwa Bakuza, akija Monday parade anasema "Today you are very smart and you look very beautiful"
 
Mastery for Service ndo ilikuwa Motto.

H/Master miaka fulani anaitwa Bakuza (Bakula?), akija Monday parade anasema "Today you are very smart and you look very beautiful"

Halafu anasema "Aim higher and your failure shall be success".
 
Back
Top Bottom