JF wakongwe: weekend ya 1 Julai (UZURI)

Usahaulifu huo...heheeheh!Nani huyo tena unamwedea undercover?!


kuna majina fulani mawili nataka nifike mpaka mwisho wake mana nimehakikishiwa ni mtu mmoja sasa watu wanamna hio lazima kuwalipua huo

ndio upuzi hatupendi kufuga.
 
7.JPG


Kweli kabisa lakini mi nitaenda hapo Simba kapakatwa nasikia pana mambo makubwa nionane na hao wadau



sehemu yoyote ambayo simba kakamatwa pa kuogopa ina mana mambo si kawaida.
 
kuna majina fulani mawili nataka nifike mpaka mwisho wake mana nimehakikishiwa ni mtu mmoja sasa watu wanamna hio lazima kuwalipua huo ndio upuzi hatupendi kufuga.

Kwanini ufike mwisho wakati umehakikishiwa? Unapoteza limited resources bure, Im honestly thinking ur in a very wrong thread...
 
Kwanini ufike mwisho wakati umehakikishiwa? Unapoteza limited resources bure, Im honestly thinking ur in a very wrong thread...
Kwahiyo ni kwamba mnaturingishia ama?!Embu hamieni chemba na story zenu za castle lait hapa!
 
Romance kwani huyo mtu/watu wanafanya uharibifu wowote kwa hizo ID?!



hapana ila nimewaona wakizunguziwa kwa urefu kwenye ile post nimesahau ya nani mmu na kila ninae muliza hata kwa pm anakwepa ivo sababu

ma GT wamwshajua basi ni wakati wa kuwalipua.
 
Ama kweli uzee unaninyemelea kwa kasi.... Yaani nimetoka kapa hapa sijaelewa chochote kinacho jadiliwa na hawa vijana wa Mujini!
 
Back
Top Bottom