JF wakongwe: weekend ya 1 Julai (UZURI)

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
nawakaribisha kiota cha SIMBA KAPAKATWA kupata moja moja ya kushtua kabla ya kuelekea kijiwe cha Sinza!!. then Jumapili Church ambapo mtumishi wa Mungu Aspirin atakuwa anaongoza ibada akisaidiwa na mjukuu wake Mwanajamii one. at the same time TEAMO atakuwa anarudishwa kundini.
Afrodensi, Lizzy na FL1 ni mashahidi wa matukio yote!! bila kumsahau baba mchungaji masanilo

si mnajua sisi watu wa mashambani tumekuja mujini daisalamu (Dar City) kutembea kidogo.

C u all
 
Kanyagio,
Huko shamba ukitimuliwa na Nyani Mghabu usisahau walau kuvaa Kandambili.
Mjini wanausafiri wa Daladala hivyo Pundamilia wako mwache kwa Mkeshahoi.
 
nawakaribisha kiota cha SIMBA KAPAKATWA kupata moja moja ya kushtua kabla ya kuelekea kijiwe cha Sinza!!. then Jumapili Church ambapo mtumishi wa Mungu Aspirin atakuwa anaongoza ibada akisaidiwa na mjukuu wake Mwanajamii one. at the same time TEAMO atakuwa anarudishwa kundini.
Afrodensi, Lizzy na FL1 ni mashahidi wa matukio yote!! bila kumsahau baba mchungaji masanilo

si mnajua sisi watu wa mashambani tumekuja mujini daisalamu (Dar City) kutembea kidogo.

C u all

Niko niko

Sema ID mingi....nasepa kidogo tutakutana huko! Nitakuwa na mazungumzo na MJ one
 
naona jf ya sasa trend iliopo ni kuchukua majina maarufu na kurusha post aisee.
Hahahaha...Romance bwana!!Kila mtu na dozi yake mama..acha afurahie kinachomfurahisha!!BTW 1 July kuna lipi linalojiri mtoa mada?!Au mshahara unalemea mfuko?!
 
kuna pia issue ya watu kuchanganya id mimi nataka mtu afungue uzi nina maswali mengi sana au kuna uzi nifuatilie post zake?
 
nawakaribisha kiota cha SIMBA KAPAKATWA kupata moja moja ya kushtua kabla ya kuelekea kijiwe cha Sinza!!. then Jumapili Church ambapo mtumishi wa Mungu Aspirin atakuwa anaongoza ibada akisaidiwa na mjukuu wake Mwanajamii one. at the same time TEAMO atakuwa anarudishwa kundini.
Afrodensi, Lizzy na FL1 ni mashahidi wa matukio yote!! bila kumsahau baba mchungaji masanilo

si mnajua sisi watu wa mashambani tumekuja mujini daisalamu (Dar City) kutembea kidogo.

C u all

Unasalio la kutosha? wengine tunamimina
 
naona umeona walo ju wataendelea kua ju wa chini chini.

7.JPG

Kweli kabisa lakini mi nitaenda hapo Simba kapakatwa nasikia pana mambo makubwa nionane na hao wadau
 
Back
Top Bottom