JF vs FACEBOOK

Niliposema FB imejaa usanii na ujinga mwingi sana sana uzinzi watu wakasema ooh kule kuna biashara,masoko na bla bla nyiiingi sana leo tena nashangaa siwaoni hapa!!! FB sio kabisa tena mimi demu wangu nimemwambia jitoe na hakuna kwenda huku kama na mm pia nisivyokaa huko!!! JF ni sawa na Kigoma ni mwisho wa reli hakuna tena!!!
 
pole sana
 
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na amani, napata changamoto mbalimbali, najifunza mambo mengi na yenye manufaa.

Wadada wenzangu wao wako busy na facebook, ukiwauliza wanaenjoy nini wanasema kuchat, ukiwaambia habari za JF wanasema we Ambilikile kweli (mshamba).

Sasa mshamba sijui ni mimi au wao ambao hawabenefit kitu. Jf is a place to be, thats why niko online kanzia asubuhi hadi usiku mzito.

I am the luckiest one kuwa miongoni mwa wana wa hii familia kubwa ya JAMII FORUMS

samahani Nazjaz
hivi unatumia jina gani FAcebook?
 
JF naipenda sana, kwani it keeps me updated. Japo kuwa FB na JF are two different things. Lakini FB upuuzi umezidi huo ni ukweli usiopingika.
 
Nimekua member wa FB kwa muda wa miaka miwili lakini hakuna faida niliyoipata kwani nilikua nakutana na post nyepesi hususani za mapenzi na sura za watu ambao wako kama kwenye kutafuta soko la biashara ya........lakini tangu nilipoanza kutembelea jf hata kabla sijajiunga nayo nilianza kupata mabadiliko kwani nimekua nikikutana na post zenye upako+maana IT'S TRUE JF IS HOME OF THINKERS :director:
 
fb nilikuwa nikipost mada za kisayansi na zenye just simple brainstorming, lakini huoni mtu akitoa comment kule zaid ya 'likes'. watu pale wako kwa ajili ya kusoma vichekesho na kuambiana somebody likes it, umependeza hyo picha, napenda tabasamu lako, u look gorgeous, so sweet etc...ila jf, sijawah kutoa mada bado, ila napata alot of stuffs kuanzia siasa, sheria, dini, afya mpaka mambo ya kikubwa na i feel like i should always read and post
 
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na amani, napata changamoto mbalimbali, najifunza mambo mengi na yenye manufaa.

Wadada wenzangu wao wako busy na facebook, ukiwauliza wanaenjoy nini wanasema kuchat, ukiwaambia habari za JF wanasema we Ambilikile kweli (mshamba).

Sasa mshamba sijui ni mimi au wao ambao hawabenefit kitu. Jf is a place to be, thats why niko online kanzia asubuhi hadi usiku mzito.

I am the luckiest one kuwa miongoni mwa wana wa hii familia kubwa ya JAMII FORUMS

Kwahiyo unataka utakwe hapa JF? sijaelewa nini hasa unataka, well jf vs fb ni sawa na kufananisha kiatu na lapa
 
duh facebook bana,it's ridiculous,nilikutana nayo hii nikiwa na peruz na kudadis! Facebook Mobile
Sasa hapo tatizo liko wapi?!Nashangaa kweli watu mnapokaa na kuanza kujifanya kwamba nyie ndo mnaofanya mambo ya maana zaidi.Kila mtu anafanya kile kinachoukosha moyo wake...kama ni kujadili siasa haya...kama ni kusikiliza bongo flava haya...kama ni kulala kutwa haya...kama ni kuongelea mapenzi haya...kama ni kupiga picha haya...kama ni kuringishiana vitu huko fb nayo poa tu ilimradi hamkeri mtu mwingine kwa lazima/makusudi.Wewe kama hupendi kitu au unaona hakina maana sio lazima na watu wengine wafuate mkumbo wako.Acha kila mtu afurahie uhuru wake kadiri ya uwezo na matakwa yake.
 
Lizzy bby mbona mkali! Kwenye red hicho ndo nilichokifanya bana,siingilii starehe ya mtu, nimesimama pembeni nakubaki nashangaa tu vinavyoendelea. Mfano ni hiyo picha,unapiga miguu yako afu unanionyesha,i mean come. To me it's ridiculous! Me niliingia huko yakanishinda aise,Chix & sharo mils ndo wamejaa. Mwingine ukienda lazima yakushinde,to me JF is all in 1 package! By tha way nakutafuta niku poke uni add ili niku inbox kule hata ckupat nan vile?
 
Acheni kuzingua. fb ina raha yake. ofcoarse huku news zipo ila jf we make friends na pia hata washikaji wa long time unawapata. kama jf isingekua udaku na fithna watu wangekuwa wanatumia majina yao ya ukweli. afu hata facebook news zipo zote sio za bongo tu. cnn, bbc na organisation kibao zipo fb sio jf. ukweli ukweli 2.
 
mkuu unamaanisha unachokisema hapo kwenye habar?
 
Hivi ujinga wa FB ni nini? cmon guyz kama wewe unadhani JF is the right place to be then its ok for you
Tafiti ujue FB imesaidia mambo mangapi sehemu mbalimbali ikiwemo misri, iran, syria nk.
FB na Jf ni vitu tofauti so its a matter of being in a right place at right time, lakini usianze kuponda Fb sababu yalioko huko ndio maana yake
 
Big up dadaetu kwa kuliona hilo. Ukweli utabaki hivyo pamoja na Facebook kuwa na umuhimu wake. Naipenda zaidi JF jinsi wana JF walivyo kama familia moja kubwa ambapo hata ukiwa na tatizo la kiufundi au kimaisha ukiomba msaada wanatokea wa kukushauri na kukusaidia bila kujali itikadi yako! Ajabu zaidi ni kwamba utakapoomba msaada wa kiufundi unaweza kujikuta na mtu ambaye juzi tu mlitofautiana hoja!
Natoa mwito wana JF tujitoe sasa kuichangia Forum muhimu hii ili kuiongezea uwezo.
God Bless Jamii Forums.
 
Back
Top Bottom