JF tunaogopana kwa nini??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??
 
Tuko sehemu mbalimbali ni vgumu kukutana na pia wa2 wanaogopa kuonekana na hao usalama wa Taifa wasije wakakueleminate kutokana na thread zako unazozituma humu,ila kama unataka kukutana na wa2 muungwana hapo juu kashajitolea nenda kapige naye soga
 
Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??

Inategemea dhumuni la wewe kuomba kukutana na mwanaJF mwingine. Kama dhumuni lako haliko clear then ndo mana wanaogopa kukutana na wewe.
 
Wengne ni waume/wake zetu tukijuana utamu wa jukwaa utapungua we kama wataka kujuana nenda tu facebook
 
Kwa wana JF tuliofunga safari kutoka Dar kwenda kuonana na wana JF wa Arusha last year December it was a good experince to me i met friends there na wamenisaidia katika mambo mengi
 
Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??

...kwakuwa "Anonymously" JF is where we dare to talk Openly!

Mh itabidi nianze mkakati wa kuonana na watu. ila kama unapenda kuonana na wan jf mbona kuna siku walikuwa wanakaribishana kupata kinywaji maeneo fulani tena alianzisha hiyo thread teamo kama sikosei, embu anaeweza ailete hapa ili kakaliza aione na nasikia walitokea wengi sana
 
Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??

umesema unakuja Yaeda nikaacha kukupokea?.....au unatutafuta maneno tu hapa.....unaona alivyosema The Finest hapo juu?....basi kukujulisha tu siku hiyo tulisakata rhumba mpaka kukakucha....mapicha motomoto tulipiga.....usitake kunifanya nikuelezee yote yaliyojiri siku hiyo....we njoo
 
Kama uko DPRK basi mi napatikana mji wa Pyongyang The Korean Demilitarized Zone .
Mi wala simwogopi mtu yeyote njoo tu tupige story tukumbushiane na mambo ya tz.
korean5.jpg
 
umesema unakuja Yaeda nikaacha kukupokea?.....au unatutafuta maneno tu hapa.....unaona alivyosema The Finest hapo juu?....basi kukujulisha tu siku hiyo tulisakata rhumba mpaka kukakucha....mapicha motomoto tulipiga.....usitake kunifanya nikuelezee yote yaliyojiri siku hiyo....we njoo
Aisee Preta ile bata tuliyokula Arusha ilikuwa si mchezo
 
Kwa wana JF tuliofunga safari kutoka Dar kwenda kuonana na wana JF wa Arusha last year December it was a good experince to me i met friends there na wamenisaidia katika mambo mengi

lkn cjui kwanini naogopa sana kukutana na wewe!
 
Back
Top Bottom