JF tulizo la kila kitu...haya tusadiane kwa hili.

msikivuTz

Member
Apr 17, 2011
68
407
poleni wa Tz wenzangu kwa kuwa na mioyo inayobubujika machozi ya shida za maisha Tz! tupilia kule, ingia JF furahia maisha, na kama vp washitue na wengine. to the point now.... Hapa Jf kuna watalaam wengi sana naomba mnisaidie software itakayozuia m2 anayekusumbua kwenye cm asikupate. Pia natoa ombi kama unayo software yoyote na unajua ni UNIQUE pls weka hapa ili kuongezea maujuzi Great thinkers wa JF. karibuni jamani.
 
Hapo kwenye RED...umekosea kupost sehemu husika....
Pia kwenye Blue kama mtu anayekusumbua kwenye simu si umpotezee tu....tabu yote yanini kumtafutia software?
I stand to be corrected kam MMU...unaweza ulizia software.
 
Jukwaa la teknolojia litakufa sana hapa ni full mahusiano na mapenzi na kila kitu kinachohusiana na hayo
 
Back
Top Bottom