JF Stats

Kwa sababu nina senksi nyingi sana ukiunganisha ID zangu zote 500

Kuna hiyo ID yako moja nilicheka sana. siku comment yako ilitokea kwa ID X kesho yake nacheki naona ID comment ile ile imekuwa ID Y. Vipi Mod walikuomba msamaha au walijipiga ban?
 
Nikosa kubwa kuziunganisha yule Painkiller akinifungia hii nakuja muda huo huo na ID nyingine !

Hahahaha Mwanakijiji ni mashine kubwa hiyo

Haya Kamanda, umenichekesha sana. Nakuaminia kaza buti.

Shida ni kuwa Rev anaweza kuwa popular kuliko hizo ID nyingine.
 
Hahahaha....Masa....hujanizidi ID aisee. Tokea 2006 hadi leo 2010 kila mwezi lazima nijiandikishe kwa ID mpya....sasa hebu kokotoa uone idadi ya ID nilizonazo. Ndo maana sijawahi kufungiwa....huwaga inafungwa ID moja tu lakini bado ninakuwepo kuwakilisha kama kawa....

Sasa nikichanganya ID zangu zote hata Mwanakijiji hatii mguu...iwe kwa "thanks" au hata idadi ya posts. Niko juu aisee.....lol
Na yeye (Mwanakijiji) akichanganya IDS zake zote je? (joke)
 
Naomba pia msiwasahau wale wanaoongoza kwa kupost utumbo kama vile dar es salaam, na wengineo tupate kuwajua na michango yao ya ******
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom