jf special day!

Love u Rejao Darling,
Inawezekana vp warembo wote wawe na tatizo,
Hapa inabidi muongee vizuri na mwanaume mwenzenu awaambie tatizo,
Eti babu Asprin kuna ni lundo la warembo ulionao hakuna hata aliyewahi kuwa na :mimba:
Asprin chokest,ujanani alitumika mpaka aka ex paya.Niniliyu yake inapumulia mashine kama jamaa flan (simtaji anatembea na gobole la mchina,'i will kill you' ndo signature yake jf)
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, utani wa tindikali huu.

Asprin chokest,ujanani alitumika mpaka aka ex paya.Niniliyu yake inapumulia mashine kama jamaa flan (simtaji anatembea na gobole la mchina,'i will kill you' ndo signature yake jf)
 
Last edited by a moderator:
Mimiiiiiii ai weweeee nichagueee.........kwanza nitaenda sana na Bishanga ila sitamchakachua Lizzy asiwe na hofu kabisaaa!

Yummy we kama unaweza mchakachue tu. . .ila uwe mwangalifu maana mzee wa watu ana presha la kupanda na kushuka.
 
Last edited by a moderator:
Mimiiiiiii ai weweeee nichagueee.........kwanza nitaenda sana na Bishanga ila sitamchakachua Lizzy asiwe na hofu kabisaaa!
mambo si hayo bana,ngoja niwahi mitumbani manzese nikasasambue suti na gauni na bestman na matroooo.
 
Back
Top Bottom