jf special day!

Product ya hapo, lazima iombe kuleta mvua kutoka Malaysia na watanzania waamini.
Na zaidi ya hayo. Mwanamke ulivokuwa tapeli prodakti lazima itasema ilishawahi kupigana vita vya majimaji kabla mama yake hajazaliwa lol
 
Hahah hahah hahah, Bishanga tupo tumejaa tele,
Actual sie tayari kila kitu tumeshapitia stage zote hizo na sasa tuko kwenye stage ya mafaniko,
Kwan sasa tayari ndoa ishajibu:mimba:na baada ya miezi kadhaa mme wangu Rejao ataitwa baba!
Ndio maana nakupenda sana my swt Cantalisia...Wiki moja tu hane muni, kitu kimenasa, tofautu na Asprin nashangaa ana warembo kibao humu....but sijawahi kusikia hata mmoja akisema kuwa ana :mimba: yake.
 
Last edited by a moderator:

Love u Rejao Darling,
Inawezekana vp warembo wote wawe na tatizo,
Hapa inabidi muongee vizuri na mwanaume mwenzenu awaambie tatizo,
Eti babu Asprin kuna ni lundo la warembo ulionao hakuna hata aliyewahi kuwa na :mimba:
 
We Rejao acha longolongo. Mi si mtu wa kujilipua kama wewe.... Mimba zote nimezihifadhi kwenye kondom, siku wakihitaji nawamiminia......:loco:
 
Last edited by a moderator:
Love u Rejao Darling,
Inawezekana vp warembo wote wawe na tatizo,
Hapa inabidi muongee vizuri na mwanaume mwenzenu awaambie tatizo,
Eti babu Asprin kuna ni lundo la warembo ulionao hakuna hata aliyewahi kuwa na :mimba:
Mi namshangaa sana huyo basha wako, sori kumbe mmeo asiyetoa mahari?

Eti mjukuu mtoro, hivi vibinti arobaini na ushee navyovikagua navyo unaweza kuviita "kibao"?
 
Niko tayari kuwa matron nitajigharamia nguo ya kuvaa send off na harusi, ha ha ha!

Mjukuu mkubwa ana ki:mimba: cha Moskwito. Afu nilijua we bonge la mjanja... ile nyumba ya urithi nimemweka pale kwa muda. Subiri ndugu zangu warudi toka Mererani uone watakavyomkurupua.

Afu hii ndoa yetu Bestman akiwa Bishanga, nani atakuwa matron wako? Nimechoka kusubiri.
 
Last edited by a moderator:
Mi namshangaa sana huyo basha wako, sori kumbe mmeo asiyetoa mahari?

Eti mjukuu mtoro, hivi vibinti arobaini na ushee navyovikagua navyo unaweza kuviita "kibao"?
Haah hahah hahah,
Babu Asprin mambo ya mahari nadhan unajua hiyo dili ilikuwaje naomba mtamalizana wenyewe lol!
So hao arubain ni wachache hahahha!ndio maana nilikutoroka na kwenda kuolewa zangu na darling wangu Rejao!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom