Jamani jamani jamani.... hivi vikongwe si muache vipumzike? Vikifia kanisani utajibu nini kwa Yesu?He he he he, labda atakuwa Babu DC, huyu naona atanifaa.
Jamani jamani jamani.... hivi vikongwe si muache vipumzike? Vikifia kanisani utajibu nini kwa Yesu?
Afu unaweza kunipa sababu tatu kuu kwanini hujamgongea Bishanga LIKE kwenye hii yuzifu sredi?
mbona mie sijawahi kuPMiwa....au PM yangu haifanyi kazi...kumbe humu ni JF family...
Unaweza kunambia ulimwambia umechumbiwa na nani?Sasa alikuwa anataka kuflirt na mie, nikamkataa hadharani.
Nikamwambia nshachumbiwa.
Kongosho hebu acha uchonganishi bana unataka akanisemee kwa brother wake nilimwe talaka tatu bila huruma???
Unaweza kunambia ulimwambia umechumbiwa na nani?
Nikuchonganisheje tena?
Bishanga mwenyewe kashajichonganisha mwenyewe na dunia nzima.
Hahahahah. . . Anahitaji kurekwbishwa sasa.