JF Senior Expert Member - Sound SEXY

Huyu Excellent mbona ndo alikuwa anafua na kupiga deki! Husn ana mahela yanamtia kiburi! Huoni alianzisha saccos wateja wakaingia mtini?
Basi mi nilikuwa naye shingo upande ili hayo mahela yake niyazoe na kupeleka kwingine........hujasikia sasa hivi kafilisika?
 
hiyo mihela bana, nitamwibia.
Nataka kuoa ila sina mahari ya kutosha.

Huyu Excellent mbona ndo alikuwa anafua na kupiga deki! Husn ana mahela yanamtia kiburi! Huoni alianzisha saccos wateja wakaingia mtini?
 
Yeyiiiiiii. Cheo kimepanda. :msela:
Marafiki na Wapenzi wote, Karibuni tusherehekee.

Mwaaaah.

Safi sana. Jana kwenye ile thread ya Husninyo niliandaa maandamano kwenda ofisi za JF kudai kurudishwa kwa status ya JF Senior Expert Member baada ya kuondolewa kiana. Leo tuliandamana na akina sweetlady na wamekubali kuirudisha. Unajua ile status ya "Senior Member" bana unaweza ukadhaniwa ni kibabu fulani hivi. lol. Ila Erotica ulisepa kwa kuogopa washawasha la Invisible. Halafu nilikuwa na usongo wa kumfanyia mod RussianRoulette bahati yake akasepa.

JF Senior Expert Members powerrrrrrrrrrrr. lol
 
Last edited by a moderator:
Mi bado jamani kusound erotica!! Dah!!! Ngoja nijitahidi ka ndo ivi!!!
 
Ahh mie naangalia tu
Hebu nifurahishe na mie maana ndio profesheni yako Erotica
OTIS

Usiwe selfish hivo na wewe zamu yako kunifurahisha. teh teh teh

post yako ya kwanza usha kiri nimekufurahisha.
 
Safi sana. Jana kwenye ile thread ya Husninyo niliandaa maandamano kwenda ofisi za JF kudai kurudishwa kwa status ya JF Senior Expert Member baada ya kuondolewa kiana. Leo tuliandamana na akina sweetlady na wamekubali kuirudisha. Unajua ile status ya "Senior Member" bana unaweza ukadhaniwa ni kibabu fulani hivi. lol. Ila Erotica ulisepa kwa kuogopa washawasha la Invisible. Halafu nilikuwa na usongo wa kumfanyia mod RussianRoulette bahati yake akasepa.

JF Senior Expert Members powerrrrrrrrrrrr. lol

kweli senior member inaonyesha kama umedumaa flani hivi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Safi sana. Jana kwenye ile thread ya Husninyo niliandaa maandamano kwenda ofisi za JF kudai kurudishwa kwa status ya JF Senior Expert Member baada ya kuondolewa kiana. Leo tuliandamana na akina sweetlady na wamekubali kuirudisha. Unajua ile status ya "Senior Member" bana unaweza ukadhaniwa ni kibabu fulani hivi. lol. Ila Erotica ulisepa kwa kuogopa washawasha la Invisible. Halafu nilikuwa na usongo wa kumfanyia mod RussianRoulette bahati yake akasepa.

JF Senior Expert Members powerrrrrrrrrrrr. lol

I have not been properly introduced to Invisible, please introduce me

to the Robot. Labda siku nyingine sitakimbia. teh teh teh. Hii taito imenipendeza kweli. sound so sexy!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Usiwe selfish hivo na wewe zamu yako kunifurahisha. teh teh teh

post yako ya kwanza usha kiri nimekufurahisha.

Nitakufurahisha kesho kwa kukufanya uwe premium member Erotica
OTIS
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom