JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

Duuh, SteveD! Umeshafika India! Au ni "Around the World in 365 days"? Au uko kule India-na?

Basi, "Namaske" -- waulize wahindi waliokuzunguka.
 
T-1, nimesharejea mkuu... bado tu sijabadili location hapojuu kwenye profile nitafanya baadae.

"Namaste mkulu wangu" na zawadi yako toka huko hii hapa mshirika:

zj23.jpg

Ni figurine iliyotengenezwa kwa dhahabu. :)

Asante sana, mkuu SteveD, kwa zawadi nzuri! Ni kweli ulikuwa huko; unaona nilivyochemsha ktk hata kukusalimia?
 
Sijaelewa chochote kitu, wala sioni hata chembe ya mwangaza hapa. naomba msaada sana. yaani kuchwa kimeganda kabisa. Its totally dark here!!!!
opening and closing eyez makes no defference - Total Blind!!!!. hebu nipeni mwangaza nione.
 
Asante sana admin.
Napendekeza maelezo haya yatafsiriwe kwa kiswahili,nami nipate nakala tafadhali.
 
Ile option ya credits iliyokuwepo ilizidi kudanganya, tumetambulisha feature mpya.

Jaribu kubonyeza username yoyote ya mtu aliye online kwa wakati huu au hata yako mwenyewe utaona changes.

Aidha hii itakuwa ni mpya na endelevu!
 
Yaani kuna mistali miwili ule wa langi ya manjano na mwingine langi ya kijani sijui kunamaanishwa uccm au uyanga ,afu kuna zile dralf za squire viko kwa upande wa kulia ,halafu kuna vikolombwezo kibau sasa nashindwa kuelewa hata maana ya hii mistali imewekwa na naona mwisho hata webu itakuwa nzito kujidownload na kwa sisi wa huku mikoani tunaotumia copper cables tutakuwa na matatizo ya kusubili ,mi hapa Ngorongoro kwenye hoteli ya utalii nikifanya kazi ya kubuku wageni kwa mtandao nimeanza kuona uzito wa hii webu ya JF na kugundua kuwa kuna vikolombwezo vimeongezwa na nikaona kuwa mambo yameanza kuwa mengi nikakumbuka ile mesali ya kiswahili inayosema kuchamba kwengi mwisho wake utaondoka na mavi sasa naona hapa JF mambo yanazidi tu.
 
Mwiba mkuu, kuanzia title ya thread mpaka yaliyomo sijaelewa.. Unamaanisha nini?

BelindaJacob
user_online.gif

BelindaJacob is proactive
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Mon Nov 2008
Location: BelindaJacob
Posts: 1,079
Thanks: 349
Thanked 409 Times in 273 Posts
Rep Power: 23
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Wakuu JF Mnachamba sana !!

Hebu nieleze maana ya Bellinda jacob is proactive -Inakuwepo kwa maana gani.
JF Premium Member inamaana gani.
Hiyo mistali ya langi mbili ina maana gani .
Rep Power ina maana gani .
Vile vidude vya kijani navyo vina maana gani ?

Natumai kuuliza si ujinga ?
Unajua kuna watu hapa wanatuzalau kwa kuwa hivyo vitu havijatimia kwetu sisi walala hoi sasa naona kila siku navyo vinazidi kama unavyozidi ufisadi.Yaani ni kama kuna mtu hana la kufanya na inakuwa kuchokonoa chokonoa tu mwisho atakuja kuhalibu kila kitu ,ndio maana yake ,ila nieleze maana hizo ambazo nimezidai kwani naludia tena kuuliza si ujinga ?
 
Yaani kuna mistali miwili ule wa langi ya manjano na mwingine langi ya kijani sijui kunamaanishwa uccm au uyanga ,afu kuna zile dralf za squire viko kwa upande wa kulia ,halafu kuna vikolombwezo kibau sasa nashindwa kuelewa hata maana ya hii mistali imewekwa na naona mwisho hata webu itakuwa nzito kujidownload na kwa sisi wa huku mikoani tunaotumia copper cables tutakuwa na matatizo ya kusubili ,mi hapa Ngorongoro kwenye hoteli ya utalii nikifanya kazi ya kubuku wageni kwa mtandao nimeanza kuona uzito wa hii webu ya JF na kugundua kuwa kuna vikolombwezo vimeongezwa na nikaona kuwa mambo yameanza kuwa mengi nikakumbuka ile mesali ya kiswahili inayosema kuchamba kwengi mwisho wake utaondoka na mavi sasa naona hapa JF mambo yanazidi tu.

Ukiwa umesha jiwekea uccm na ucuf, usimba na uyanga ndiyo unaona vitu ambavyo hata havi kukusudiwa. Ndiyo yale yote ya (+) wengine wanaona alama ya kupata na wengine wanaona ni msalaba. It's just one's own preception.Kuna post invisible aliweka kuelezea haya mabadiliko ngoja niitafute niiweke hapa.
 
Yaani kuna mistali miwili ule wa langi ya manjano na mwingine langi ya kijani sijui kunamaanishwa uccm au uyanga ,afu kuna zile dralf za squire viko kwa upande wa kulia ,halafu kuna vikolombwezo kibau sasa nashindwa kuelewa hata maana ya hii mistali imewekwa na naona mwisho hata webu itakuwa nzito kujidownload na kwa sisi wa huku mikoani tunaotumia copper cables tutakuwa na matatizo ya kusubili ,mi hapa Ngorongoro kwenye hoteli ya utalii nikifanya kazi ya kubuku wageni kwa mtandao nimeanza kuona uzito wa hii webu ya JF na kugundua kuwa kuna vikolombwezo vimeongezwa na nikaona kuwa mambo yameanza kuwa mengi nikakumbuka ile mesali ya kiswahili inayosema kuchamba kwengi mwisho wake utaondoka na mavi sasa naona hapa JF mambo yanazidi tu.

Ile option ya credits iliyokuwepo ilizidi kudanganya, tumetambulisha feature mpya.

Jaribu kubonyeza username yoyote ya mtu aliye online kwa wakati huu au hata yako mwenyewe utaona changes.

Aidha hii itakuwa ni mpya na endelevu!

Hopefully utakua umepata jibu.
 
Mwiba
Belinda is proactive ndo nilivyo-set status yangu niki-edit nikaifuta itasomeka 'Belinda has no status' yaani kama wewe hapo imejiandika 'Mwiba has no status'..ukiongeza neno mbele yake itasomeka mfano 'Mwiba......' kwahiyo unakuwa umeweka status. Hope nimekujibu nilivyoelewa swali mkuu!!
Ukweli ni kuwa baada ya hii thread yako ndo nimeona hizi rangi rangi, tusubiri wahusika watuelezee hayo mabadiliko yaliyochukua sura mpya.
Pia title ilinichanganya ukilinganisha na yaliyomo, kiswahili kipana!.. Ishaalah tutapata kujua maana ya hizo rangi rangi!
 
Yaani kuna mistali miwili ule wa langi ya manjano na mwingine langi ya kijani sijui kunamaanishwa uccm au uyanga ,afu kuna zile dralf za squire viko kwa upande wa kulia ,halafu kuna vikolombwezo kibau sasa nashindwa kuelewa hata maana ya hii mistali imewekwa na naona mwisho hata webu itakuwa nzito kujidownload na kwa sisi wa huku mikoani tunaotumia copper cables tutakuwa na matatizo ya kusubili ,mi hapa Ngorongoro kwenye hoteli ya utalii nikifanya kazi ya kubuku wageni kwa mtandao nimeanza kuona uzito wa hii webu ya JF na kugundua kuwa kuna vikolombwezo vimeongezwa na nikaona kuwa mambo yameanza kuwa mengi nikakumbuka ile mesali ya kiswahili inayosema kuchamba kwengi mwisho wake utaondoka na mavi sasa naona hapa JF mambo yanazidi tu.

Sasa booking ya wageni huko Ngorongoro ina mahusiano gani na JF? Ingekuwa bora zaidi kama utarekebisha hilo neno mesali sina hakika kama ulikuwa unamaanisha methali. Lakini kama lilikuwa lina maana yake natanguliza apology.
 
BelindaJacob
user_online.gif

BelindaJacob is proactive
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Mon Nov 2008
Location: BelindaJacob
Posts: 1,079
Thanks: 349
Thanked 409 Times in 273 Posts
Rep Power: 23
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Wakuu JF Mnachamba sana !!

Hebu nieleze maana ya Bellinda jacob is proactive -Inakuwepo kwa maana gani.
JF Premium Member inamaana gani.
Hiyo mistali ya langi mbili ina maana gani .
Rep Power ina maana gani .
Vile vidude vya kijani navyo vina maana gani ?

Natumai kuuliza si ujinga ?
Unajua kuna watu hapa wanatuzalau kwa kuwa hivyo vitu havijatimia kwetu sisi walala hoi sasa naona kila siku navyo vinazidi kama unavyozidi ufisadi.Yaani ni kama kuna mtu hana la kufanya na inakuwa kuchokonoa chokonoa tu mwisho atakuja kuhalibu kila kitu ,ndio maana yake ,ila nieleze maana hizo ambazo nimezidai kwani naludia tena kuuliza si ujinga ?

Ndio maana unaambiwa kuna chakua cha mboga saba, mimi naona mwake tuu labda pengine mkuu mitari yako haina uwiano ndio maaana (kidding) ila sidhani kama inaleta tatizo lolote
 
Na hata hiyo Heading ya Thread Mmmmh....Kiswahili ni Lugha yetu sote lakini pia matumizi ya hizi methali yana sehemu zake!.Hiyo Heading kali mno, inaashiria kuwasuta Wakuu wa JF.....Tupunguze kidogo makali ya Lugha tutaeleweka tu!

Kuendesha na kusimamia hichi kijiwe ni kazi kubwa mno,waandikie PM na wape ushauri muafaka Mods watasikiliza tu ushauri wako,nafikiri hilo litajenga zaidi kuliko hivi vijembe!
 
Bado binafsi zijaelewa vizuri kwenye kupanda ngazi.
Kupanda ngazi?

Well, iko hivi:

Ukiwa na posts pungufu ya 10 unakuwa Junior Member, ukiwa na posts zaidi ya 10 lakini pungufu ya 50 unakuwa Member, ukiwa na posts zaidi ya 50 lakini pungufu ya 250 unakuwa Senior Member, ukiwa na posts zaidi ya 250 na kuendelea unakuwa Expert Member hapa JF.

Sasa:

Ukichangia JF (soma hapa namna ya kuchangia) hata kama ulikuwa na posts 2 au 10 unaingia kwenye Premium Members moja kwa moja. Hii inakuongezea access zaidi kwa kutambua ushiriki wako katika kuiwezesha JF kuendelea kuwa hewani.

Wapo wanaosema JF si kuna matangazo ya Google, wanatarajia yangeweza kuiendesha JF kirahisi... Ni tofauti sana wakuu, content ya kiswahili kwenye matangazo ya Google hailipi... Watanzania si wepesi kugonga matangazo hayo, wengi wanayaangalia tuuu! Gharama zote zinabakia kubebwa na wanachama wachache ili wengine waendelee kuifaidi JF.

Mkuu Mwawado:

Thanks mkuu, hii hali tumeizoea tu, baada ya kumsoma Mwiba nimegundua hiyo mada yake haikuwa na sababu ya kuanzishwa zaidi alitakiwa kuendelezea kwenye hii na majibu angekuwa nayo tu.
 
Back
Top Bottom