JF Pre-Launch, toa maoni yako!

Mimi naona upunguze possibility wa wadau kuongeza their own styles kwenye threads and posts zao. Yaani at least kuwe na uniformity kwenye posts and threads. Najua kuna watu huwa wanapenda kuwaka styles mbalimbali kwenye threads/posts zao. Wapo wanaopenda kuandika in italic, in bold, in big font size, others in their favourable colours, nk. Lakini sometimes hizi styles zinadistract others and pia flow ya posts.

Ability to create personal styles ndio iliyofanya Myspace ife kifo cha mende. Too much access killed Myspace. Basically users were given to much ability to create and script their pages. Moja ya vitu vinavyofanya facebook iwe so popular ni uniformity and simplicity. Facebook succeeded because they made it simple enough for even a middle of the class 10 year old to use.

Kwa mfano sasa hivi ukiangalia font size za signatures ni kubwa kuliko posts which may suggest that signatures are more important than posts/threads. kwa mfano angalia post na signature ya PakaJimmy hapo juu. Post yake imejificha wakati signature yake ni kubwa na ina rangi tatu. This is not to disrespect PakaJimmy, is just as an example on what I mean. Angalia pia ya Maxshimba hapo. Signature inaonekana zaidi ya post yake. Matokeo yake tunaweza kuishia kusoma signatures badala ya posts zao.

Pia kwa style hii ya avatar kuwa juu, ina maana sentensi za posts/threads zitakuwa ndefu sana. Hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi kusoma posts/threads ndefu na zile ambazo hazina hata paragraphs. With this current font size, and the avatar on the top, the sentences look very long in deed.
 
Kazi nzuri wakuu, changes zipi mnafanya on mobile edition..?! Am waitin to see
 
Du. Umetulia sana mzee. Kama kuna uwezekano wa mtu kubofya sehemu akaona watu wote waliompa thanks and thread husika itakuwa bomba sana mkuu. Wakati mwingine mtu unakuta thanks zimeongezeka lakini inakuwa ngumu kujua umepewa thanks na nani na kwenye thread ipi mpaka uanze kufukua thread baada ya thread. Pia kama inawezekana kubofya sehemu ukapata sehemu ambayo mtu ame-reply aki-quote thread yako itakuwa bomba pia. Ni hayo tu mzee kama yanawezekana
 
Mkuu Max. Hongera kwa kazi nzuri.Pls anzisha thread ya U17 kwani wanatusumbua sana huku hata wakati mwingine JF inaonekana ya watu wasioelewa mambo.

Pia tenganisha haya majukwaa ili kila mwenye hobby afuate au kuweka habari kwenye jukwaa husika.Tukifungua New posts tusikutane kwa pamoja,Nina imani umenipata.
 
Mie nasubiri mpaka Jtatu ndio nitasema neno,kazi njema Max na timu yako kwa ujumla
 
The Finest, hata mimi sijaelewa! Au ndio mambo ya ZombaDaresSalaamMaraliaSuguJeyKey........
Its really Cool and professional. Nafikiri kuwe na nafasi kati ya row ya Thanks na Next poster
:clap2::first:
 
Ina muonekano mzuri sana. Tatizo kwa ambao umri umeenda, fonts za maandishi ni ndogo, ongezeeni kidogo
 
chat room chat room ipo wapi????????????
mnaniboa for real.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom