JF Pre-Launch, toa maoni yako!

mpwa Msa bado yuko HIja? lolz muonekano mpya Free Masa....Inapendeza hasa ukiingia jukwaa la kule chini picha zinaonekana vizuri

Kaniambia j3 atatoka lock up.

Toa maoni yako JF mpya inaonekanaje mpwa?
 
Mkuu hizi fonts kuwa hivi now atleast inatofautisha na signature anyway am sure you can increase the font yourself kama hapa


hahaha...mkuu nadhani ilivokuja mpya cookies or whatever zilizokuwa set kwa ajili ya font size yangu, zilipotea, so nimefanya tena CTRL+ +++ and its okay now....lol
 
mods... report abuse baton italeta usumbufu mkubwa sana kwenu kwani kila mtu ataibonyeza pale atakapokua challenged and rather not abused
sijui interpretation na somo zima la abuse sisi tutalichukuliaje....kama ni lugha au maneno basi ni maneno gani....ukiniambia mimi kilaza hiyo ni abuse..? au yawezekana kweli ni kilaza kwani sina data au sjui kujadili hoja..... mimi nahisi matazipokea report abuse nyingi sana na zitawachanganya...... nyinyi ndiyo mnaweza kutoa hukumu kwamba hii ni abuse au siyo

unless otherwise kazi nzuri sana..JF home is now more conducive
 
mpangilio mzuri ingawa itatuchukua mda kuzoea

hii mkuu kama ingeakaa chini kushoto ivii ``Did you find this post helpful? | ,``
 
Ok
Mbali na kufanya marekebisho katika mwenekano, na ile ya report abuse,mmeongeza jukwaa lolote jipya?
Au tusubiri kidogo?
 
Nimeipenda iko ki professional sana. Naomba MUWEKE MENU YA KUBADILISHA USER NAME PLEASE. UTAKUTA MTU MMOJA NATUMIA MORE THAN 4 USER NAMES.
 
Great step ahead,
Hongereni wamiliki wa mtandao wetu PENDWA & MAKINI.
 
Nimeipenda iko ki professional sana. Naomba MUWEKE MENU YA KUBADILISHA USER NAME PLEASE. UTAKUTA MTU MMOJA NATUMIA MORE THAN 4 USER NAMES.
Mkuu, hujaeleweka..
Sa wakiweka hadharani si ndio itakuwa balaa
Unless you mean something else!..ha ha haaa
 
Sasa ndio kisa cha kufungua thread?...
Si ungeenda kule kwenye thread ya MAXENCE YA KUTAMBULISHA NEW VERSION. ukatoe maoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom