JF Pre-Launch, toa maoni yako!

Mwanzoni kabla ya changes hizi zote eneo la avatar ya mtu kulikuwa na option ya kuweka kitu kama signature...lakini yenyewe ikiwa kama maneno fulani tu anavyopenda kujiita mhusika!/...

Mfano:
PAKAJIMMY is a SILENT OBSERVER!...
Iko wapi hii wakuu?
 
Napendekeza kuwepo jukwaa ambapo watu wanaweza kupata taarifa za kiutafiti,uchunguzi ,za siri nk zilizodhibitishwa au JF sTORE iboreshwe kwani ,HII Jf Store ya sasa haina jipya.

Byabato
Mkuu, JF Store ni biashara nyingine hiyo. Habari za uchunguzi na ambazo ni recommended usome kwa manufaa yako zinapatikana Jamii Intelligence - Jamii Intelligence
 
Imependeza sana dah mm mwenyewe ndo naingia nimeshtuka kidogo.

Lakini JF Premium member jaribu kuwakoleza kidogo
 
Mwanzoni kabla ya changes hizi zote eneo la avatar ya mtu kulikuwa na option ya kuweka kitu kama signature...lakini yenyewe ikiwa kama maneno fulani tu anavyopenda kujiita mhusika!/...

Mfano:
PAKAJIMMY is a SILENT OBSERVER!...
Iko wapi hii wakuu?
Well, hatukujua ina umuhimu (Status messages like FaceBook?) basi tutarejesha mkuu
 
Wakuu,

Dakika chache zijazo tutaibadilisha JF mwonekano, bado kuna vitu vichache vya kumalizia ambavyo tutaviweka w/end hii...

Sasa basi, tungependa kupata maoni yenu juu ya nini mnaona kinafaa kuongezwa na kipi kirekebishwe.

Logo itabadilika, miziki itaongezwa na chat inafanyiwa marekebisho ya mwisho, stats (missing) zitarekebishwa.

Tunatumaini mtatujuza kwa kuandika hapa ama kwa njia ya barua pepe: support@jamiiforums.com

Thanks Max and the JF team tumeiona, we really appreciate your efforts, p'se keep it up!
 
Atakapo toka jela mpwa Masanilo atakuta JF ina mwonekano mpyaaa na atakuja na mawazo mapyaaa

Hongera Max kwa kazi nzito binafsi nimeipenda
mpwa Msa bado yuko HIja? lolz muonekano mpya Free Masa....Inapendeza hasa ukiingia jukwaa la kule chini picha zinaonekana vizuri
 
Hata mi nawapongeza sana. Naona pia ombi la kuweka thanks kwenye mobile limepitishwa
 
wananiudhi sana hawa kila siku kubadilisha vitu tu ni kukosa kazi ya kufanya wanakuwaje sijui..mi ndo maana nataka nichukue u MOD
 
Nashauri muongezi marketing muweze kupata matangazo zaidi, beer, soda, na watu wengine wanaweza kutangaza hapa kwa mafanikio.
 
The individual post space is too crowded, pengine ile format/design ya kwanza was better?
 
Add this page to your favorite Social Bookmarking websites


Huwa naona hii kitu kwenye site zingine na kutamani kama JF nao wangekuwemo ili kama hi habari au picha mtu aweze kuituma jukwaani. Wakuu fanyieni kazi na hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom