JF Pre-Launch, toa maoni yako!

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,414
Wakuu,

Dakika chache zijazo tutaibadilisha JF mwonekano, bado kuna vitu vichache vya kumalizia ambavyo tutaviweka w/end hii...

Sasa basi, tungependa kupata maoni yenu juu ya nini mnaona kinafaa kuongezwa na kipi kirekebishwe.

Logo itabadilika, miziki itaongezwa na chat inafanyiwa marekebisho ya mwisho, stats (missing) zitarekebishwa.

Tunatumaini mtatujuza kwa kuandika hapa ama kwa njia ya barua pepe: support@jamiiforums.com
 
Nadhani ungeweka option ya mtu anayetoa tusi au kejeli zaidi ya mara moja kwa mwezi kuwa auto banned kwa mwezi mzima. Hii iwe applicable kwa yeyote atakayeleta breaking news au new alrt ambazo si za kweli.
 
Sawa mkuu kwanza hongereni sana kwa juhudi zote ngoja tuione:clap2::clap2::clap2:

najua kuna watu tuko wahafidhina na wengine wangependa mambo mapya so lazima kuwe na balance

in anycase wakati wa kubadili itakuwa down kwa muda gani (manake wengine tutakufa kama itapotea muda mrefu)
 
heshima mkuu, ngoja tuone kwanza inavyofanana ndipo tutaweza kutoa maoni. pongezi kwa kazi hiyo
 
Nice prior changes!

Nimeona kwenye kujisajili, mmeiweka mbele kama tai...Its good from my opinion, maana wengine walikuwa hawaoni jinsi ya kujisajili...

Otherwise we are anxious for pipe-line version on the coming!...
Keep us enjoying wakuu!
 
Napendekeza kuwepo jukwaa ambapo watu wanaweza kupata taarifa za kiutafiti,uchunguzi ,za siri nk zilizodhibitishwa au JF sTORE iboreshwe kwani ,HII Jf Store ya sasa haina jipya.

Byabato
 
Wakuu,

Dakika chache zijazo tutaibadilisha JF mwonekano, bado kuna vitu vichache vya kumalizia ambavyo tutaviweka w/end hii...

Sasa basi, tungependa kupata maoni yenu juu ya nini mnaona kinafaa kuongezwa na kipi kirekebishwe.

Logo itabadilika, miziki itaongezwa na chat inafanyiwa marekebisho ya mwisho, stats (missing) zitarekebishwa.

Tunatumaini mtatujuza kwa kuandika hapa ama kwa njia ya barua pepe: support@jamiiforums.com

Naona mambo yameanza kubadilika, hii ya profile kuwa juu nimeipenda, na pia kuacha signature chini safi as kunakuwa na tofauti kati ya posts. Pia hii rangi, sijui ni light blue au baby blue imetulia.

Kudos.
 
hongera sana max,

nimekubali kabisa hii ni BEYOND OUR EXPECTATIONS
 
Wakuu poleni na kazi.. pendekezo, ni kwamba signature inavyokuwa chini inachanganya na message ya mtu... ushauri naomba either itengenezewe border chini ya different colour au iwekwe juu within the border ya profile (if its possible)
 
mi nadhani waibold hii border ya chini kulinda maana ya signature (inakuwaga chini eeh?) lol
 
Tafuteni namna hii huduma iwe ya kulipia hususan muanze na kuweka mada baadaye muendelee hadi kuchangia. Maana mada nyingine zinazoletwa humu mh!
 
Wow

I the forum looks amazing, wonderful. It is simple, keep it as simple as possible, neither colourful no bold.
 
1. kwa kutumia moderator's experience na verified hisia .... basi....thread ambazo zitakuwa mmnahisi ni mis leading au zinaleta chuki au zina lengo la kuchochea udini au kikabila au jinsia ..... ziwe highlighted au ziwe black listed kwa namna yeyote ile ili popote ziendapo wana JF wasichangie

2. Maxence.... provide a special page of classified ads..... not neccessary a page but maybe a ribbon or block in all pages that will give room to banners for advertisements...hii ni function tofauti na matangazo madogo madogo ambayo unapost kama topict .....unataka tu advertise biashara zetu ...ili na nyinyi mpate pesa...au nyinyi sio wachaga....hamtaki peas bana...
 
dah, kwa sasa inachanganya sana, hata sijui nianzie wapi....ile kitu ya new topics imehamia wapi?
 
Hongera Management ya JF...Nimeona kwa macho sura ya JF ikibadilika...
Nimefurahi sana..na inapendeza ..mengineyo tutajuzana!
 
mi nadhani waibold hii border ya chini kulinda maana ya signature (inakuwaga chini eeh?) lol

thats true wanaweza wakafanya the line of the border kuwa Thick (more visible) au wabadilishe the name of the signature iwe ni...... Trade Mark :) ...... just joking on the latter
 
Mkuu its getting better and better.... Perfect... Kazi nzuri sana sasa naanza kuikubali..., ignore my comments kuhusu signature as of 4:09pm its PERFECT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom