JF PM imekusaidiaje?

PM imenifanya nachat na Kaizer sasa hivi, mmoja wa watu ninaowakubali sana humu JF.
 
Last edited by a moderator:
imenisadia kumchuna Bishanga hadi nimenunua nyumba Mbezi Beach

Ngoma draw! Umechuna na wewe kwako amefaudu mauroda!
Hukuipata bure bibie!
Umeifanyia kazi . Kanuni za "earning income" zasema always Debtor goes with Creditor!
 
Last edited by a moderator:
PM imenifanya nachat na Kaizer sasa hivi, mmoja wa watu ninaowakubali sana humu JF.

Usitufanye watoto wadogo hapa,
usikute ni shemeji yako au umefikia kwake toka kijijini kwenu.
Usipomsifia yeye,msifie Madame B sawa?
 
Last edited by a moderator:
Mtu Chake wewe,
we mbona nanilii kakugeuza Vocha,
anakukwangua kila kukicha na hatusemi?
Au ndo yaleyale Akisafiri Mwarabu kaenda Dubai,
Akisafiri Mzaramo kenda Ngomani.
Mwache Pedeshee langu ajinafasi,Mtoto wa Dsm,
Mtoto Handsome,
Nakati ya CityCentre.
Hakuzaliwa kwa bahati mbaya na wala haishi kwa Makusudi.
Horyaaaaa...!!!
Msiri wangu St Paka,hebu kalale,kha!!!

Mwambie mpaka mtakatifu achoke kufanya siri,sijui itakuwa mwaka gani..??
 
Mtu Chake wewe,
we mbona nanilii kakugeuza Vocha,
anakukwangua kila kukicha na hatusemi?
Au ndo yaleyale Akisafiri Mwarabu kaenda Dubai,
Akisafiri Mzaramo kenda Ngomani.
Mwache Pedeshee langu ajinafasi,Mtoto wa Dsm,
Mtoto Handsome,
Nakati ya CityCentre.
Hakuzaliwa kwa bahati mbaya na wala haishi kwa Makusudi.
Horyaaaaa...!!!
Msiri wangu St Paka,hebu kalale,kha!!!

loj.....
Mwanamke una balaa wewe....
 
Yaani ikija ile adhabu ya kuchakachua, sijui nani atapona! Nitahamia zangu blogu ya le mutuz nijifunze style za kuvaa nitoke vipi! Hapa sijui pia nimechakachua?
 
Yaani ikija ile adhabu ya kuchakachua, sijui nani atapona! Nitahamia zangu blogu ya le mutuz nijifunze style za kuvaa nitoke vipi! Hapa sijui pia nimechakachua?

Acha tu,
hapa nilipo tumbo joto.
Watatufanya tuongeze idadi ya ID sasa.
 
its amazing toka niingie humu ndani sijawahi tuma wala kupokea PM....au labda yangu inaenda moja kwa moja kwa invisibo
 
Wana Chit Chat, PM humu Jamvini ni nyenzo muhimu kwa matumizi mbalimbali! Leo napenda kupata ushuhuda je PM imekusaidia katika lipi? Kuna wengine wameshaweza ku-exchange phone numbers, e-mail na hata kuonana face to face kwa msaada wa PM! Kuna wengine kama Bishanga aligonganisha magari through PM, wengine ni couples sasa kwa msaada wa PM! Binafsi, sina something tangible cha kushuhudia, je wewe? Hebu tiririka hapa!

imenisaidia kupata access ya jukwaa la At your own risk!
 
Heh, hujui Bishanga ni kilimo kwanza??

Heka 2, tu unapata trekta na ruzuku ya mbolea
Acha akina yakhe, sh. 10,000 wanataka wale hadi mafao ya uzeeni lol

Ngoma draw! Umechuna na wewe kwako amefaudu mauroda!
Hukuipata bure bibie!
Umeifanyia kazi . Kanuni za "earning income" zasema always Debtor goes with Creditor!
 
Last edited by a moderator:
Heh, hujui Bishanga ni kilimo kwanza??

Heka 2, tu unapata trekta na ruzuku ya mbolea
Acha akina yakhe, sh. 10,000 wanataka wale hadi mafao ya uzeeni lol

Nimeipenda art ulivyo ji'express kureply invasion!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom